Magufuli asema Mafisadi wanamwogopa ndio maana hawataki aingie Ikulu


S

Silentobserver007

Member
Joined
Jun 26, 2015
Messages
69
Likes
0
Points
13
S

Silentobserver007

Member
Joined Jun 26, 2015
69 0 13
Asahau kuingia ikulu hatuwezi kumpeleka ikulu mtu mropokaji na mwenye kujaa mihemko

kiongozi lazima awe na hekima
Mbona ukawa mna mihemko ila hatusemi? Tena mihemko haswaaaaa yenye mahaba na yule mlikuwa mnaambiwa ni fisadi mpaka gia ilipobadilika angani?
 
S

Silentobserver007

Member
Joined
Jun 26, 2015
Messages
69
Likes
0
Points
13
S

Silentobserver007

Member
Joined Jun 26, 2015
69 0 13
Eti mafisadi wananiogopa!!!Kwani nchi ina mafisadi wangapi??Nani mwl wa hao anaowaita mafisadi km sio chama chake??
LENGO LETU SIO KUCHAGUA FISADI BALI NI KUIONDOA CCM MADARAKAN NA HILI LIKISHINDIKANA BASI NITAAMINI KABISA MANENO YA MH BEN MKAPA KUWA SISI NI MALOFA,wapumbavu na MAMBUMBUMBU!
Jiongelee mwenyewe ndugu, usiseme sisi, dunia hii kila mtu anaingia kivyake na anatoka kivyake hata pacha wako hamjaingia pamoja hata kama mmezaliwa siku moja. We subiri kupiga kura mwenye kushinda akabidhiwe kiti maisha yaendelee nini kulumbana bila hoja za msingi?
 
C

christmas

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2011
Messages
2,607
Likes
289
Points
180
C

christmas

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2011
2,607 289 180
Katika orodha ya wenye hekima Lowasa do ndiyo wa mwisho? Kung'ang'ania kuwa rais ni kukosa hekima tena ni dharau na chuki kwa viongozi waliomlea Lowasa na asivyo na hekima akishindwa kwenye kura atakataa na wafuasi wake watasababisha damu imwagike kwani hata sasa wana mihemko na wamekosa busara na ni waropokaji.
tulia wewe gamba hekima unaijua wewe? LOWASSA NDIO RAIS WAKO
VIVA UKAWA!!!
 
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2014
Messages
9,154
Likes
4,406
Points
280
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2014
9,154 4,406 280
JP Magufuli ni muarobaini wa mafisadi Ltd
 
C

christmas

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2011
Messages
2,607
Likes
289
Points
180
C

christmas

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2011
2,607 289 180
Alivyokua anaongea hayo alijijumuisha na yeye mwenyewe? RAIS NI LOWASSA
VIVA UKAWA!!!
 
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
24,368
Likes
12,942
Points
280
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
24,368 12,942 280
Asahau kuingia ikulu hatuwezi kumpeleka ikulu mtu mropokaji na mwenye kujaa mihemko

kiongozi lazima awe na hekima
Nahuyo ndio Rais sasa jinyonge
 
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
24,368
Likes
12,942
Points
280
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
24,368 12,942 280
haa haa vipi na wale mafisadi waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa na zingine kuwapa nyumba ndogo zao wanamuogopa?
Simaye Alisha wajibu acheni kufuata utumbo
 
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
24,368
Likes
12,942
Points
280
MOTOCHINI

MOTOCHINI

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
24,368 12,942 280
Vp kuhusu ufisadi alioufanya yeye wa kununua meli mbovu ya billion 8,vp ufisadi ambao CAG ameouona kwenye wizara yake wa billion 262? Aache ulofa!
Malofa wanafahamika
 
Troll JF

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Messages
6,978
Likes
10,071
Points
280
Troll JF

Troll JF

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2015
6,978 10,071 280
Magufuli kitu ambacho inatakiwa akitamke ni Kurudisha katiba ya wananchi hapo inamuongezea credit sasa hivi hata kweye mikutano anasema Magufuli Oye anataka kuwa sahaulisha habari ya CCM.
 
Jimena

Jimena

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2015
Messages
24,484
Likes
92,076
Points
280
Jimena

Jimena

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2015
24,484 92,076 280
Pombe isiende ikulu
 
M

mbongombishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Messages
483
Likes
29
Points
45
M

mbongombishi

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2014
483 29 45
mgombea urais ambaye amepata nafasi kwa ule mtindo wa "sandakalawe amina,mwenye kupata apate,mwenye kukosa akose" kweli unategemea jambo jema lolote kutoka kwake akiwa raisi?
Watanzania tuache ushabiki wa kipumbavu,tufanye mabadiliko kwani kuna kakundi ka watu wachache kenyewe kana maslahi binafsi na mfumo uliopo,ndio maana wanadiriki hata kusema kuwa fulani akiwa raisi,basi wao watapata usingizi.
Cha ajabu mno,huyo fulani amepata nafasi kwa mtindo wa sandakalawe baada ya makundi hasimu makubwa kutupwa nnje ya mpambano,hivyo kuamua kulipiza kisasi kwa kumpa kura mtu waliyeamini hakuwa chaguo la wakubwa.
 
Jigsaw

Jigsaw

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Messages
1,822
Likes
163
Points
160
Jigsaw

Jigsaw

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2011
1,822 163 160
Wanamuogopa sana humuoni Lowasa anavyohangaika anajua kiboko wa mafisadi anakuja.
Akisimama na kutamka wazi kwamba ata mshughulikia kikamilifu Rais kikwete na genge lake kwa kulifikisha taifa hapa lilipo fikia leo hii nitampigia kura yangu ya " NDIO"
 
Subira the princess

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Messages
370
Likes
324
Points
80
Subira the princess

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2018
370 324 80
Wasalaam, kumekua na tetesi huku kwetu shinyanga kwamba rais wetu na serikali ya wanyonge ya awamu ya tano wanaogopa kuwachukulia hatua mafisadi papa ili hali mahakama ya mafisadi imejengwa nakukamilika ikigharimu mabilioni ya wavuja jasho wa Tanzania.

Inasemekana mafisadi wote waliolitia hasara taifa hili wapo ccm na kitendo cha kuwagusa itakisambaratisha chama cha mapinduzi. Watu wanahoji wakinukuu kauli ya mh rais magufuli alioitoa ktk kampeni 2015 na katika hotuba zake baada ya kuapishwa kwamba, nanukuu" MAFISADI WAMEKIMBILIA CHADEMA/UPINZANI" mwisho wa nukuu.

Sasa swali linabaki je kama kweli mafidi wapo upinzani kwanini wasikamatwe na kupelekwa mahakama ya mafisàdi na hatimae wafungwe segerea? Je hizi tetesi kwamba mafisadi wote wapo ccm tena ni vigogo wakubwa na hawagusiki zina ukweli wowote?

Naomba kuwasilisha.
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
25,655
Likes
16,505
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
25,655 16,505 280
Mbona kama vile una delayed milestones...yaani huu mjadala tulishaujadili humu ...hebu chukua muda wa kupitia threads za JF kabla ya kupost
 

Forum statistics

Threads 1,215,470
Members 463,210
Posts 28,549,939