Recent content by Silemoja

  1. S

    Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

    Lkn Brother hiyo miaka 50 unayosema wengi wao hawakuwepo kipindi hicho, pia shida haizoelwki Ndugu yangu
  2. S

    Mbunge wa Bunda ameidhalilisha CCM na anapaswa kukatwa jina lake uchaguzi ujao

    Hata Ndugai akiwa speaker wa bunge, aliwahi kushangaa Sheria walizotunga km zimepitishwa na bunge hili lkn hakuwajibishwa Sasa Leo Kwa mbunge mbona ni jambo la kawaida tu kujisahihisha?
  3. S

    Nape, huwezi kushindana na TEC

    Msimamo wa RC ndio msimamo wa waumini wote wa RC, other wise uhame kanisa, na uzuri wa RC hawabembelezi waumini km akina mwamposa n.k
  4. S

    Swala la mkataba wa bandari na baraza la maaskofu naanza kuliona kwa jicho lingine tofauti

    Sasa hapo ni mtihani Kwa rais maana akiendelea na mchakato Wakristo wataamini kweli kuwa hii inshu inahisiana na Waislam na akaihirisha mchakato itaonekana Wakristo Wana nguvu ya kuamua jambo na serikali ikatii, hapo pia ni mtihani mkubwa Kwa viongozi wa serikali wenye Imani ya katoliki...
  5. S

    Swala la mkataba wa bandari na baraza la maaskofu naanza kuliona kwa jicho lingine tofauti

    Haya mambo ya udini aliye yasababisha ni serikali yenyewe, huu mpasuko wataujutia
  6. S

    Kitendo cha Serikali ya Sweden kumpa kibali muislamu kuchoma Biblia na Torah nje ya Ubalozi wa Israel ni kitendo cha kijasiri sana

    Kinachonishangaza hivyo vitabu mnavyo viita eti vitabu vitakatifu, ukienda Kwa waganga vimejaa kibao Tena vimezagaa tu, na wanavitumia kuloge watu.
  7. S

    Hii imekaaje? Kila nikikaribia kupata pesa mambo yanaharibika

    Pole sana hiyo Hali inataka kufanana na mm tofauti ni Kwamba mm Huwa dilinzangi Zina tiki kabisa, ila baada ya muda furani mambo Huwa yanaharibika vibaya mno, yaani Huwa inatokea msara mkubwa na kujikuta kile nilichokipata hukitumia Kwa ajili ya kutatua tatizo. Pole sana
  8. S

    Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

    Sio mara ya kukurupuka, Kuna inshu Ile ya mwanajeshi aliyebeba tv ya jamaa, sijui washauri wake maana mambo mengine ni size ya m/Kiti wa mtaa tu.
  9. S

    Askofu Bagonza: Rushwa imesababisha Bandari ifanyiwe kinachofanyika

    Police na Mahakama nafikiri zitabinafsishwa Kwa sababu zinaongoza Kwa rushwa
  10. S

    Maoni yangu juu ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Cha msingi huu mjadala usitugawe kiimani za dini zetu
  11. S

    DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

    Maamuzi mabaya ni yapi? Lazima yainishwe bila kuyainisha itakuwa sawa na burr.
  12. S

    Maoni yangu juu ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Nimejaribu kusoma na kuisikiliza mijadala juu ya hili sakata la DP World. Kwa kweli mpaka Sasa kama taifa bado tunarumbana juu ya sisi Kwa sisi Cha kushangaza zaidi hata hao wasomi wa Sheria katika nchi hii wameshindwa kuwa na tafsiri ya pamoja katika mkaba huu. Tofauti na ilivyotarajiwa sasa...
Back
Top Bottom