Recent content by Silasy

  1. Silasy

    TRA kumuajiri mke wa Amani Simbayao aliyeshambuliwa Tegeta na kufariki baadae Ili aweze kutunza Watoto wadogo alioachiwa na marehemu!

    Inawezekana ikawa ni kulipa fadhila Kwa mjane na familia ya Marehemu ila Mimi naona haikuwa sahihi kutangaza ,wangemuajiri kimya kimya .
  2. Silasy

    Dar es Salaam bado ni jiji la kimasikini saana! Ushahidi kwenye picha!

    Inawezekana mtoa mada ndio una mawazo ya kimaskini utajiri wa Jiji au nchi haupimwi na skyscrapers tu!nenda mji mikubwa ya ulaya uone hakuna skyscrapers lakini ni matajiri mfano wa karibu London.
  3. Silasy

    Nashauri taifa limteue Paul Makonda kuwa mrithi wa Faustine Ndugulile pale WHO

    Du kweli Elimu ni muhimu! Kwa hali ya kawaida mtoa mada umeshindwa kujua nafasi ya Marehemu Dr Ndungulile ni ya kitaaluma zaidi na wahusika ni Health personnel?WHO na Makonda wapi na wapi?
  4. Silasy

    Ndoa yangu ina hali tete

    Anakuandaa kisaikolojia ili timbwili likianza usione mambo mapya !wanawake uwa wanashindwa kabisa kuficha hisia zao kama atakuwa amepata mtu nje uwa ndio wakati anapoona mapungufu yako lakini akiwa kwenye deep love hayo mambo ya uzee au sio handsome uwa hayaoni kabisa,ukute huyo mme mwenzako...
  5. Silasy

    Yaani kijana miaka 39 unamiliki gorofa Kariakoo kweli jamani hii ni haki sisi wazee tupo tu

    Kila mtu ana destiny yake Wala usihuzunike ! Asset pekee ambayo unatakiwa usikose katika maisha yako ni good health, mengine ni nyongeza
  6. Silasy

    Yanga SC ikishinda leo niitwe Aziza Jumanne

    Nakuita Dada Aziza in advance
  7. Silasy

    Nina ndoto za kuja kuwa Director mkubwa Afrika Mashariki na Kati

    Direct? Director?kama ni Director wa Movie?au Music?au Company?au?
  8. Silasy

    Hemed Morocco hatoshi kuwa Coach wa Taifa stars AFCON

    Tujifunze ku appreciate Kwa mazuri yanayotekea kwenye nchi yetu!
  9. Silasy

    Nashauri coach Gamondi atupishe

    Nahisi kama Kuna ukweli ndani yake ,ukiangalia Kwa makini Yanga now days inatumia nguvu nyingi sana kupata matokeo na ni kama Kila timu zimejua tactics za Yanga na simply wakipaki basi hakuna goals,wachezaji wako busy kutafuta direct penetration kwenye msitu wa wachezaji hakuna cross za gombania...
  10. Silasy

    Nina GPA kubwa 4.1 ya Rasilimali watu(HR) ila kazi sipati

    Mungu atakusimamia utapata hitaji lako,ila course nyingine ni changamoto kwenye suala la ajira tofauti na course za Afya au Ualimu,unakuta ofisi Moja Ina watumishi zaidi ya 300 lakini HRO mmoja tu anatosha wakati huo vyuo vinamwaga maelfu ya wahitimu Kila mwaka! course kama hizi unatakiwa iwe...
  11. Silasy

    Hospitali zilinde Faragha za wagonjwa

    Sijaona cha ajabu au ambacho kinaathiri privacy ya mgonjwa hapo ,cha muhimu mgonjwa ameridhia taarifa zake zitoke Kwa umma Kwa maslahi ya taifa,hata ulaya Kila siku tunatangaziwa mgonjwa kapandikizwa moyo wa nguruwe,mara mwanaume kabadilishwa jinsia na wanatajwa hadharani lakini husikii watu...
  12. Silasy

    Kagera: Mwalimu atapeliwa zaidi ya milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi

    Kweli kabisa nimekuwa nikijiuliza kwanini Kila nikilipwa kazi zangu kutumia mitandao ie Simu ndio siku hiyo hapo matapeli watanipigia Simu au kuniandikia sms keep na namna taarifa za wateja zina leak au Kuna watumishi wasio waaminifu wa hizi kampuni za Simu wanatoa taarifa Kwa matapeli
  13. Silasy

    Chalamila afunguka binti aliyedhalilishwa na waliotumwa na afande

    Hakuna Sheria ya kudai fidia kwenye fumanizi zaidi ya kuomba Talaka.hiyo ni matrimonial case na sio case ya Madai ndio maana wahusika wengi uamua kujichukulia Sheria mikononi dhidi ya mgoni wake kama ilivyotokea kwa huyu Binti.
  14. Silasy

    Ujumbe huu kwa kila asiekuwa Muislam; Soma kabla ya hujafa

    Hivi katika Uislam,ukafiri ni Uzayuni na Ukristo tu?maana duniani tuna Dini nyingi zaidi ya Ukristo ambazo zinaamini Miungu wengine zaidi ya Allah au Jevovah kama Buddha, Hindu, Voodoo nk lakini huwezi kukutana na mafundisho au ukosoaji wa kiislamu ukiwalenga ! Cha ajabu ukifuatilia msingi ya...
Back
Top Bottom