Recent content by sikonge one

  1. S

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Lissu asema hana kumbukumbu vizuri kwa kilichotokea kwenye shambulio dhidi ya Lissu

    Kama hakuguswa hata na risasi moja hakumbuki je aliyepigwa risasi atakumbuka kweli ?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nassari na Lema: Tuna ushahidi wa madiwani waliohama wakipokea rushwa, tupo tayari kuwaonyesha TAKUKURU na DCI

    Hawa jamaa kwa kulukia mambo mpaka wanakera .
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa leo wa CHADEMA kwa waandishi wa habari waacha maswali mengi

    Aisee humu jf watu wanafikilia sana hii thread dah
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

    Hawa hata akipelekwa india wataenda inaonekana wanapenda kutalii
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mbunge kuinanga serikali yake akiwa nchi jirani?

    Wameenda kumuongezea tu machungu mgonjwa huko si kuuguza.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya maelezo ya dereva wa Lissu yanazidi kuibua maswali mengi. Polisi wamhoji hata kwa nguvu

    Huyu dereva mi simuelewi ndo kusema maelezo kayatolea kwa polisi huko aliko.
  7. S

    JamiiForums Tanzania 2020 CHADEMA mna kura yangu ya urais mkimpitisha huyu mtu!

    Mleta mada kama ni cdm utafukuzwa uanachama mda c mrefu hujui kama mgombea yupo alishaandaliwa.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Maneno ya kiswahili yaliyo pata kiki awamu ya tano

    Ukuta
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Msigwa nyie si madaktari rudini Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge

    Dah kuna maneno makali humu jamani punguzeni jazba.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege Dar(JNIA): Almasi yenye thamani ya zaidi ya Sh. Bilioni 64 yataifishwa

    Ngaringosha yumo humu jf anachangia kwa kutumia matusi kitu ambacho si sahihi ila nimeona machangizo mengi ya wana jf wamekuwa ni watu wa matusi ni si kujadili hoja kistaarabu hasa walioko upande wa upinzani sijui shida yao ni nini . Jamani tujadili hoja kama great thinkers na si matusi mda...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Vita ya uenyekiti yaibuka rasmi CHADEMA

    Nimeukubali uchambuzi wako naona kama kuna ukweli ndani yake.
  12. S

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mchunguzeni Mbowe na ufisadi anaoufanya ndani ya CHADEMA

    Kweli mkuu
  13. S

    JamiiForums Tanzania James Orengo vs Tundu Lissu

    Orengo anaonekana kuwa busara zaidi .
Back
Top Bottom