Vita ya uenyekiti yaibuka rasmi CHADEMA

Vita ya uenyekiti yaibuka rasmi CHADEMA

Trump2

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,553
Reaction score
2,610
Binafsi naelewa dhana ya vyama vya upinzani nchini kuwa ni kuharakisha maendeleo. Pamoja na kwamba mimi si mwanachadema na huwa naisema CHADEMA ila kwa namna moja au nyingine kina mchango mkubwa sana katika kuharakisha maendeleo nchini.

Ni ukweli usiopingika kuwa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani kwa umoja wao vimekuwa vikisukuma maendeleo ya nchi hii na ndio maana huwa natamani vikue na vije na agenda nzito ili serikali isilale usiku na mchana ihangaike kutuletea maendeleo. Leo hii tukirudi kwenye mfumo wa chama kimoja tutarudi kule kule tulipotoka.

Kwa sasa kuna hatari kubwa inakinyemelea chama cha CHADEMA na inahitajika busara ya juu sana kukinusuru kutokana na balaa hilo.

[HASHTAG]#Chadema[/HASHTAG] Siku za karibuni ilikuwa ianze mchakato wake wa kuchagua viongozi wake kuanzia ngazi za chini. Lakini ghafla Mwemyekiti wa chama hicho aliibuka na Kumwamuru katibu mkuu wa chama hicho kuandika barua ya kusitisha uchaguzi huo mara moja kwa kile alichokisema uchaguzi huo umeinhiliwa na watu wanaojipanga kwa nafasi za Urais 2020.

[HASHTAG]#Wanachadema[/HASHTAG] wamefungwa akili zao na hawajui kinachoendelea ndani ya chama hicho. Kwa sasa kuna watu watatu ambao wamejipanga kwa nanma yoyote ile kuwa lazma mmoja wao awe Mwenyekiti wa CHADEMA jambo ambalo limemvuruga kabisa Mbowe. Watu hao ni :-

1. Lissu.

2. Sumaye.

3.Laurence Masha.

Kwa mujibu wa katiba ya chadema ibara ya 6.3.2 kipengele cha "C" kinasema nanukuu.

"Kiongozi anayemaliza muda wa uongozi ana haki ya kugombea na kuchaguliwa tena mradi awe anatimiza masharti ya kuchaguliwa kuwa kiongozi" mwisho wa kunukuu.

Kwa mujibu wa ibara hiyo mheshimiwa sana MBOWE naye yumo kwenye mbio za kugombea tena kiti hicho.Nimepitia katiba yote ya CHADEMA hakuna mahali ambapo muda wa kukoma kuongoza umetajwa. Ila ibara ya 6.3.4 inaelezea mazingira ya kiongozi kukoma uongozi wake ambapo vipengele vyake vinasema:-

a) Kama kiongozi atajiuzulu mwenyewe

b) Kama kiongozi ataachishwa uanachama

c) Kama kiongozi atashindwa kutimiza majukumu yake

d) kwa kufariki.

Hakuna mahali ambapo katiba hii ianasema kuwa kama kiongozi ametumikia nafasi yake kwa kipindi cha miaka 10 kwa mfano hataruhusiwa kugombea tena hivyo niwatoe hofu wale wanaotaka Mbowe aendelee kuwa katiba haijamnyima labla aamue kujiuzulu jambo ambalo ni ndoto kwa Mbowe. Kwa maana hiyo jumla ya wanaoitaka nafasi hiyo kwa sasa ni watu 5 ambao tayari wanajukikana.

HISTORIA INASEMAJE?

Kwa historia ya nafasi hiyo ya uenyekiti kwa miaka ya hivi karibuni inaonyesha kuwa kila anayejaribu kusema anaitaka nafasi hiyo hukumbana na balaa la kisiasa.

Rejea Chacha wangwe, Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, Mwigamba na wengineo. Inafahamika hili na uchaguzi wa mwisho Mbowe aligombea na kivuli baada ya kumfukuza Zitto na yeye kujidai wazee wamekuja kumshawishi agombee.

HALI IPOJE KWA SASA.

Kwa sasa mbowe kabadili strategy, sasa hivi hawafukuzi wale wanaoonyesha nia ya kugombea nafasi hiyo kama alivyofanya kwa kina kitila na Zitto Kabwe. Sasa hivi anafanya kisomi sana.

1. Sumaye:- Huyu alipoonyesha nia alielekezwa kwenda kugombea uenyekiti wa Kanda ya Pwani. Hakujua kwanini alipewa fadhila hiyo. Kama atajishaua ataikosa nafasi hiyo na atafukuzwa uanachama kwa kuwa hana madhara sana kama Lowassa.

[HASHTAG]#Tukumbuke[/HASHTAG] kuwa masha alionyesha nia ya kugombea kanda ya pwani ila Mbowe alitengeneza mazingira kuhakikisha Sumaye anabaki Mwenyewe. Jiulize Masha na Sumaye nani alikijenga chama zaidi na nani alistahili kupewa nafasi?

2. Lissu:- Huyu anapendwa zaidi n a Vijana na anapata msukumo toka kwa vijana kugombea nafasi hiyo. Huyu vijana wa CHADEMA wanamtaja pia kama chaguo lao mbadala wa Lowassa kwenye nafasi ya urais. Tatizo kubwa alilonalo Lissu ni kumuoga sana Mbowe. Pili nafasi ya urais wa TLS alisaidiwa sana na Mbowe na hata Masha kujitoa kwenye Kinyanganyiro sababu zilikuwa ni nafasi hii ya uenyekiti.

[HASHTAG]#Kwa[/HASHTAG] sasa Lisu kabeba agenda ya Kujijenga zaidi kuliko kukijenga chama. Huyu ndiye mgombea ambaye anamtishia zaidi Mbowe kwa kuwa kama akishika fomu ya uenyikiti kwa sasa atashinda kwa kuwa ndiye mgombea anayeonekana kuwa ana uwezo wa kupambana na CCM kwa kuwa hana Makandokando kabisa ambayo CCM inaweza kuyatumia kama udhaifu wa kumnyamazisha. Hata mimi binafsi kwa Ustawi Mkubwa wa Demokrasia nchini huyu anawafaa kabisa na ataleta sura mpya na mwelekeo mpya wa siasa za upinzani nchi yaani siasabza hoja bila kuandamana.

4. Masha:- Hii ni plan B ya Lowassa ya kutaka kukimilika chama na kwake huyu atamsadia kushinda urais, yeye ndiye anayemsukuma Masha agombee uenyekiti wa CHADEMA. Kwa mtizamo wa Lowassa hili linafaida kwake na kwa chama. Lowassa anaamini kama Masha atakuwa mwenyekiti mwenyekiti atasadia kukifufua Chama kanda ya Ziwa ambako chama kila kukicha kinakufa upande huo. Kumbukeni kanda hii ndio huamua raisi awe nani kutokana na wingi wa watu. Ikumbukwe kuwa Lowassa juzi alisema akitoa maoni kuhusu uchaguzi wa Kenya kufutwa alisema Upinzani ni njia tu ya kupita kuelekea kule anakokuita Ikulu.

[HASHTAG]#Masha[/HASHTAG] atamsaidia zaidi Kuliko Lissu kwani chini ya Lissu usalama wa lowassa ni mdogo. Lissu anaujasiri wa kumwambia Lowassa apitie mchakato mzima wa kikatiba wa kupata mgombea urais uliopo kwenye katiba ya CHADEMA. Na Ikumbukwe kuwa Lowassa si mtu wa kushindana anapenda apite bila kupingwa ndio maana huwa anahonga sana fedha..

[HASHTAG]#Mbowe[/HASHTAG] kwa kulifahamu hili alihakikisha Masha ni lazima agombee Ubunge wa Afrika mashariki. Liwake jua inyeshe mvua Mbowe alitaka Masha aondoke ili asahau nafasi hii ya uenyekiti. CCM walishajua plan ya Mbowe hivyo masha hakupata kura za ndio, CCM wanataka Masha abaki ili mgawanyiko ndani ya chadema uwe mkubwa. Kushindwa kwa Masha ni faida kubwa mno kwa CCM.

Kama mtakumbuka CCM waliwapa kura nyingi sana wagombea wengine wa EAC toka chadema Josephine Lemoyan na Pamela Maassay na kumwacha Masha ambaye alionyesha uwezo mkubwa sana wa kujieleza. Faida ya CCM kumwacha Masha nchini ni kubwa kuliko maelezo kwani kama Lowassa atamsaidia kushinda uenyekiti basi CCM itakuwa imerahisishiwa kazi ya kupambana na CHADEMA kwa kuwa wanamjua vizuri masha kuliko anavyojijua.

HATARI ILIYOPO

Kwa sasa kuna makundi yameshaanza kuundwa kila mtu niliyemtaja hapo juu anajijenga kivyake. Jambo hili litakipasua chama kabisa huko mbeleni. Na siamini kama chadema kinaweza kuhimili mpasuko wa makundi haya ndio maana nashauri intellejensia ya chama kulichunguza hili na kulisimamia kusitishwa kwake kwa manufaa ya ustawi wa CHADEMA. Wananchi wenye uelewa wanatambua mchango mkubwa wa vyama vya upinzani ndio maana naongea hili bila ITIKADI.

VIASHIRIA.

Kuna viashiria vingi vimeanza kujitokeza:-

1. Swala la uchaguzi wa kanda ya nyasa. Mpasuko unaojitokeza unasababishwa na team za wanaowania uenyekiti. Inasemakana Sesopi ni kipenzi cha Lowassa na angelitumiwa naye vizuri kujenga ushawishi wa mzee kukubalika kwenye kanda ya nyasa. Mbowe alishtukia dili na kumuondoa na kumuweka Msigwa kwa kuwa ni mtiifu kwake kwa maana hiyo atalinda maslahi yake.

2. Kupotea kwa Ben saanane hakumuumi sana mbowe kwa kuwa Saa nane ni mtu anayetamani mapinduzi ndani ya chama. Inasemekana Lisu ni kipenzi kikubwa cha Saanane na ndio maana alijitokeza hadharani kumtafuta na kumsemea Ben.

3.Vijana waelewa wa CHADEMA kupata ujasiri wa kuhoji baadhi ya mambo ambayo yalizoeleka ila kwa sasa wanahoji sana swala la Demikrasia ndani ya chama. Inasemekana ni maandalizi ya kumwandaa mbowe kisaikolojia.

4. Mikutano ya ndani anayoiendesha Lowassa, kuna tetesi kuwa Lowassa anatumia fedha zake kufanya mikutano hiyo na mojawapo ya sera abagoieneza ni kukataa sera iliyomjenga mbowe ya uanaharakati badala yake chama kaiachane na harakati.

5. Sumaye aliuziwa jumba bovu kuambiwa akagombee kanda ya Pwani ikiwa ni maandalizi ya kumuondoa kwenye kinyanganyiro hicho. Ila sasa kama ameanza kurudi tena.

#Si mnakumbuka hata Masha alikuwa anaitaka hii nafasi? Angegombea na Sumaye angeshindwa hivyo Mbowe alitengeneza mazingira ili Sumaye ashinde na abaki mwenyewe.

6. Lsu anatoa matamko mengi kuliko kawaida yake, anakubali kushikwa kila siku, anakubali hata kuvaa vilemba ili tu kujenga ushawishi. Ameamua Kuvaa bomu la kupambana na Magufuli Moja kwa moja, hakauki kuita Media kwa sasa wengi hawajui tena kazi ya Tumain Makene kama afisa habari. Lissu ndani ya CHADEMA kajigeuza msemaji, mwanasheria na Mwenezi wa chama.

[HASHTAG]#Huyu[/HASHTAG] ndiye kitanzi cha Mfalme Mbowe

Kisu Kimegusa Mfupa!
 
Vyovyote iwavyo mimi sijali,,ila Sumaye na Masha hawawezi kuwa wenyeviti wetu kamwe..nakuhakikishia sisi tuna akili sana hatuwezi kuwachagua hao makapi ya CCM,,kwanza naamini hao bado wana harufu ya CCM pamoja na baba lao Lowasa.n
 
Naona ndiyo wateule wa Msajili wa Vyama Vya Siasa.
 
Mbona imekaa kitoto sana, hakuna uhalisia wa unzchokizungumza na halihalisi. haya mambo peleka facebook angalau utapata likes
 
Hivi Lumumba lini mmekuwa washauri wa chadema?

Mwambien maguful tunasubiria Noah zetu

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Naona UVCCM kunawaka moto huko kwa chokochoko za kila namna hasa kashfa ya rushwa...
Sasa mlivyo wajinga mnakuja kujiliwaza na habari za chadema..
Kwendraaaaaaaaa
 
najua LISSU ndio anautamani uwenyekiti ila hao wengine unawaonea tu.......

ushauri wangu kwa chadema ,inatakiwa ibadilishe uongozi kulingana na siasa za sasa hivi,mtu kama lissu ni mwanaharakati hafai hatachembe kuongoza abaki tu na kazi ya kuikosoa serikali ili ikawe sawa maana wanajisahau sana.

Mbowe nimtu wakubadilika kutokana na siasa mfano mzuri alivyobadili upepo kwa kumkaribisha lowasaa Chadema ila kwa maslahi ya chama nashauri apumzike tu.
Sumaye ni master wa politics za tanzania anafaa sana kuongoza chama ila hauziki mbele ya jamii historia inamhukumu

lau masha ni mwanasiasa mzuri sana ila inahitajika uwe na uwelewa wa juu sana uzielewe siasa zake kwa tabaka la watu wajingawajinga kama sisi ,lazima tumuone hafai ana siasa za demokrasia iliyo komaa sio za kubahatisha kama huku kwetu .

nashauri LOWASSA AWE Mwenyekiti na hekima,pia ni mzoefu kwenye siasa na anawafuasi wengi japo sidhani kama hataikubali nafasi ya uwenyekiti
 
Binafsi naelewa dhana ya vyama vya upinzani nchini kuwa ni kuharakisha maendeleo. Pamoja na kwamba mimi si mwanachadema na huwa naisema CHADEMA ila kwa namna moja au nyingine kina mchango mkubwa sana katika kuharakisha maendeleo nchini.

Ni ukweli usiopingika kuwa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani kwa umoja wao vimekuwa vikisukuma maendeleo ya nchi hii na ndio maana huwa natamani vikue na vije na agenda nzito ili serikali isilale usiku na mchana ihangaike kutuletea maendeleo. Leo hii tukirudi kwenye mfumo wa chama kimoja tutarudi kule kule tulipotoka.

Kwa sasa kuna hatari kubwa inakinyemelea chama cha CHADEMA na inahitajika busara ya juu sana kukinusuru kutokana na balaa hilo.

[HASHTAG]#Chadema[/HASHTAG] Siku za karibuni ilikuwa ianze mchakato wake wa kuchagua viongozi wake kuanzia ngazi za chini. Lakini ghafla Mwemyekiti wa chama hicho aliibuka na Kumwamuru katibu mkuu wa chama hicho kuandika barua ya kusitisha uchaguzi huo mara moja kwa kile alichokisema uchaguzi huo umeinhiliwa na watu wanaojipanga kwa nafasi za Urais 2020.

[HASHTAG]#Wanachadema[/HASHTAG] wamefungwa akili zao na hawajui kinachoendelea ndani ya chama hicho. Kwa sasa kuna watu watatu ambao wamejipanga kwa nanma yoyote ile kuwa lazma mmoja wao awe Mwenyekiti wa CHADEMA jambo ambalo limemvuruga kabisa Mbowe. Watu hao ni :-

1. Lissu.

2. Sumaye.

3.Laurence Masha.

Kwa mujibu wa katiba ya chadema ibara ya 6.3.2 kipengele cha "C" kinasema nanukuu.

"Kiongozi anayemaliza muda wa uongozi ana haki ya kugombea na kuchaguliwa tena mradi awe anatimiza masharti ya kuchaguliwa kuwa kiongozi" mwisho wa kunukuu.

Kwa mujibu wa ibara hiyo mheshimiwa sana MBOWE naye yumo kwenye mbio za kugombea tena kiti hicho.Nimepitia katiba yote ya CHADEMA hakuna mahali ambapo muda wa kukoma kuongoza umetajwa. Ila ibara ya 6.3.4 inaelezea mazingira ya kiongozi kukoma uongozi wake ambapo vipengele vyake vinasema:-

a) Kama kiongozi atajiuzulu mwenyewe

b) Kama kiongozi ataachishwa uanachama

c) Kama kiongozi atashindwa kutimiza majukumu yake

d) kwa kufariki.

Hakuna mahali ambapo katiba hii ianasema kuwa kama kiongozi ametumikia nafasi yake kwa kipindi cha miaka 10 kwa mfano hataruhusiwa kugombea tena hivyo niwatoe hofu wale wanaotaka Mbowe aendelee kuwa katiba haijamnyima labla aamue kujiuzulu jambo ambalo ni ndoto kwa Mbowe. Kwa maana hiyo jumla ya wanaoitaka nafasi hiyo kwa sasa ni watu 5 ambao tayari wanajukikana.

HISTORIA INASEMAJE?

Kwa historia ya nafasi hiyo ya uenyekiti kwa miaka ya hivi karibuni inaonyesha kuwa kila anayejaribu kusema anaitaka nafasi hiyo hukumbana na balaa la kisiasa.

Rejea Chacha wangwe, Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo, Mwigamba na wengineo. Inafahamika hili na uchaguzi wa mwisho Mbowe aligombea na kivuli baada ya kumfukuza Zitto na yeye kujidai wazee wamekuja kumshawishi agombee.

HALI IPOJE KWA SASA.

Kwa sasa mbowe kabadili strategy, sasa hivi hawafukuzi wale wanaoonyesha nia ya kugombea nafasi hiyo kama alivyofanya kwa kina kitila na Zitto Kabwe. Sasa hivi anafanya kisomi sana.

1. Sumaye:- Huyu alipoonyesha nia alielekezwa kwenda kugombea uenyekiti wa Kanda ya Pwani. Hakujua kwanini alipewa fadhila hiyo. Kama atajishaua ataikosa nafasi hiyo na atafukuzwa uanachama kwa kuwa hana madhara sana kama Lowassa.

[HASHTAG]#Tukumbuke[/HASHTAG] kuwa masha alionyesha nia ya kugombea kanda ya pwani ila Mbowe alitengeneza mazingira kuhakikisha Sumaye anabaki Mwenyewe. Jiulize Masha na Sumaye nani alikijenga chama zaidi na nani alistahili kupewa nafasi?

2. Lissu:- Huyu anapendwa zaidi n a Vijana na anapata msukumo toka kwa vijana kugombea nafasi hiyo. Huyu vijana wa CHADEMA wanamtaja pia kama chaguo lao mbadala wa Lowassa kwenye nafasi ya urais. Tatizo kubwa alilonalo Lissu ni kumuoga sana Mbowe. Pili nafasi ya urais wa TLS alisaidiwa sana na Mbowe na hata Masha kujitoa kwenye Kinyanganyiro sababu zilikuwa ni nafasi hii ya uenyekiti.

[HASHTAG]#Kwa[/HASHTAG] sasa Lisu kabeba agenda ya Kujijenga zaidi kuliko kukijenga chama. Huyu ndiye mgombea ambaye anamtishia zaidi Mbowe kwa kuwa kama akishika fomu ya uenyikiti kwa sasa atashinda kwa kuwa ndiye mgombea anayeonekana kuwa ana uwezo wa kupambana na CCM kwa kuwa hana Makandokando kabisa ambayo CCM inaweza kuyatumia kama udhaifu wa kumnyamazisha. Hata mimi binafsi kwa Ustawi Mkubwa wa Demokrasia nchini huyu anawafaa kabisa na ataleta sura mpya na mwelekeo mpya wa siasa za upinzani nchi yaani siasabza hoja bila kuandamana.

4. Masha:- Hii ni plan B ya Lowassa ya kutaka kukimilika chama na kwake huyu atamsadia kushinda urais, yeye ndiye anayemsukuma Masha agombee uenyekiti wa CHADEMA. Kwa mtizamo wa Lowassa hili linafaida kwake na kwa chama. Lowassa anaamini kama Masha atakuwa mwenyekiti mwenyekiti atasadia kukifufua Chama kanda ya Ziwa ambako chama kila kukicha kinakufa upande huo. Kumbukeni kanda hii ndio huamua raisi awe nani kutokana na wingi wa watu. Ikumbukwe kuwa Lowassa juzi alisema akitoa maoni kuhusu uchaguzi wa Kenya kufutwa alisema Upinzani ni njia tu ya kupita kuelekea kule anakokuita Ikulu.

[HASHTAG]#Masha[/HASHTAG] atamsaidia zaidi Kuliko Lissu kwani chini ya Lissu usalama wa lowassa ni mdogo. Lissu anaujasiri wa kumwambia Lowassa apitie mchakato mzima wa kikatiba wa kupata mgombea urais uliopo kwenye katiba ya CHADEMA. Na Ikumbukwe kuwa Lowassa si mtu wa kushindana anapenda apite bila kupingwa ndio maana huwa anahonga sana fedha..

[HASHTAG]#Mbowe[/HASHTAG] kwa kulifahamu hili alihakikisha Masha ni lazima agombee Ubunge wa Afrika mashariki. Liwake jua inyeshe mvua Mbowe alitaka Masha aondoke ili asahau nafasi hii ya uenyekiti. CCM walishajua plan ya Mbowe hivyo masha hakupata kura za ndio, CCM wanataka Masha abaki ili mgawanyiko ndani ya chadema uwe mkubwa. Kushindwa kwa Masha ni faida kubwa mno kwa CCM.

Kama mtakumbuka CCM waliwapa kura nyingi sana wagombea wengine wa EAC toka chadema Josephine Lemoyan na Pamela Maassay na kumwacha Masha ambaye alionyesha uwezo mkubwa sana wa kujieleza. Faida ya CCM kumwacha Masha nchini ni kubwa kuliko maelezo kwani kama Lowassa atamsaidia kushinda uenyekiti basi CCM itakuwa imerahisishiwa kazi ya kupambana na CHADEMA kwa kuwa wanamjua vizuri masha kuliko anavyojijua.

HATARI ILIYOPO

Kwa sasa kuna makundi yameshaanza kuundwa kila mtu niliyemtaja hapo juu anajijenga kivyake. Jambo hili litakipasua chama kabisa huko mbeleni. Na siamini kama chadema kinaweza kuhimili mpasuko wa makundi haya ndio maana nashauri intellejensia ya chama kulichunguza hili na kulisimamia kusitishwa kwake kwa manufaa ya ustawi wa CHADEMA. Wananchi wenye uelewa wanatambua mchango mkubwa wa vyama vya upinzani ndio maana naongea hili bila ITIKADI.

VIASHIRIA.

Kuna viashiria vingi vimeanza kujitokeza:-

1. Swala la uchaguzi wa kanda ya nyasa. Mpasuko unaojitokeza unasababishwa na team za wanaowania uenyekiti. Inasemakana Sesopi ni kipenzi cha Lowassa na angelitumiwa naye vizuri kujenga ushawishi wa mzee kukubalika kwenye kanda ya nyasa. Mbowe alishtukia dili na kumuondoa na kumuweka Msigwa kwa kuwa ni mtiifu kwake kwa maana hiyo atalinda maslahi yake.

2. Kupotea kwa Ben saanane hakumuumi sana mbowe kwa kuwa Saa nane ni mtu anayetamani mapinduzi ndani ya chama. Inasemekana Lisu ni kipenzi kikubwa cha Saanane na ndio maana alijitokeza hadharani kumtafuta na kumsemea Ben.

3.Vijana waelewa wa CHADEMA kupata ujasiri wa kuhoji baadhi ya mambo ambayo yalizoeleka ila kwa sasa wanahoji sana swala la Demikrasia ndani ya chama. Inasemekana ni maandalizi ya kumwandaa mbowe kisaikolojia.

4. Mikutano ya ndani anayoiendesha Lowassa, kuna tetesi kuwa Lowassa anatumia fedha zake kufanya mikutano hiyo na mojawapo ya sera abagoieneza ni kukataa sera iliyomjenga mbowe ya uanaharakati badala yake chama kaiachane na harakati.

5. Sumaye aliuziwa jumba bovu kuambiwa akagombee kanda ya Pwani ikiwa ni maandalizi ya kumuondoa kwenye kinyanganyiro hicho. Ila sasa kama ameanza kurudi tena.

#Si mnakumbuka hata Masha alikuwa anaitaka hii nafasi? Angegombea na Sumaye angeshindwa hivyo Mbowe alitengeneza mazingira ili Sumaye ashinde na abaki mwenyewe.

6. Lsu anatoa matamko mengi kuliko kawaida yake, anakubali kushikwa kila siku, anakubali hata kuvaa vilemba ili tu kujenga ushawishi. Ameamua Kuvaa bomu la kupambana na Magufuli Moja kwa moja, hakauki kuita Media kwa sasa wengi hawajui tena kazi ya Tumain Makene kama afisa habari. Lissu ndani ya CHADEMA kajigeuza msemaji, mwanasheria na Mwenezi wa chama.

[HASHTAG]#Huyu[/HASHTAG] ndiye kitanzi cha Mfalme Mbowe

Kisu Kimegusa Mfupa!
Alie kutuma kamwambie nimewakuta hawajambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoteza muda wako bure wa kupanga foleni ya kupokea buku 7 zako,kwa kuandika mambo ya kitoto ambayo CHADEMA haiwezi ikatishika nayo,kwa kuwa imekumbuna na vikwazo vizito zaidi ya huu utoto na kuvishinda.
 
Mmeanza ramli zenu..mzee wa kubadilisha gia angani nafasi yake bado mbadala hajapatikana.
Mbowe✔
 
Wewe Thadei Ole Mushi, kaa tulia hujui ya watu. Usitusomeshe hisia zako, Let's ya kwetu UVCCM.
Kumbe ndio yeye! nasikia anaonewa wivu na wenzake huko Lumumba kwani ndiye anayelipwa posho kubwa na Polepole kwa vile anaujua uzushi na uzushi uko damuni hasa. Nasikia yeye amefikisha kiwango cha buk ten per day tofauti na wale wa Buk7.
CCM uongo na uzandiki unalipa!
 
Gia za angani zinakuja we utajionea mwenyewe. Nilikata tamaa na upinzani baada ya zile sarakasi zao za 2015. Siwezi kusahau ule upuuzi na dharau waliyo ionesha kwa watanzania. waliwatusi wananchi kwa kumsimamisha mtu ambaye alikua kinyume na kila kitu walicho kihubiri kwa miaka nenda rudi
 
Vyovyote iwavyo mimi sijali,,ila Sumaye na Masha hawawezi kuwa wenyeviti wetu kamwe..nakuhakikishia sisi tuna akili sana hatuwezi kuwachagua hao makapi ya CCM,,kwanza naamini hao bado wana harufu ya CCM pamoja na baba lao Lowasa.n

Naona akili zimerudi baada ya uchaguzi...Hivi Lowasa ni mwanachama toka lini vile???
 
Back
Top Bottom