Recent content by Sikirimimimasikini

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ndege F-16 Yafeli Maonesho ya Maneuver na Kumuua Rubani

    Jana Alhamisi, tarehe 28 Agosti 2025, katika Kituo cha Jeshi la Anga cha Radom kilichopo Warsaw, Poland, ndege ya kivita ya kimarekani aina ya F-16 ya Jeshi la Anga la Poland, ilipata ajali mbaya wakati wa mazoezi ya maonesho ya anga. Rubani alijaribu mbinu ya barrel roll — yaani mzunguko wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Vita ya Urusi na Ukraine. Imeshtua watu wengi sana. Hali inatisha

    Hii inafurahisha sana, Urusi imepoteza sana na yaendelea kupata hasara kubwa katika vita hii, lakini cha kushangaza Marekani (mpeleka silaha mkuu wa Ukraine) ndio yalazimisha vita isitishwe haraka
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

    The Rock Filamu ya mwaka 1996 ya action ambapo wanajeshi waasi wanateka kisiwa cha Alcatraz na kutishia kulipua gesi hatari ya VX dhidi ya San Francisco, wakidai fidia kwa wanajeshi waliopuuzwa na serikali. Serikali inatuma mtaalamu wa kemikali, Stanley Goodspeed, pamoja na mfungwa wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

    Hivi inajulikana kwa jina lipi tofauti na hiyo?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

    Ahaaa, kwa hiyo Mkuu, ulimwengu ulitokea ghafla ghafla tu (kibahati bahati), na vitu vikajipanga vyenyewe (kwa ustadi) kibahati bahati tu? Fikiria mfano wako (binadamu): 1. Mdomo umetokea kibahati bahati ukakaa mahali hapo ulipo, na pamefaa/endana kabisa na kazi yake—haikutokea mdomo ukajiweka...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Niko njiapanda ya kuchagua dini sahihi

    Shikilia hapo hapo Mkuu...usiamini kibubusa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hii milipuko inayosikika eneo la Ubungo ni nini?

    Mkuje kutupa maelezo wajuvi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hii milipuko inayosikika eneo la Ubungo ni nini?

    Ngoja tuwasikie wadau
  9. S

    JamiiForums Tanzania Medvedev amjibu Trump: Russia sio Israel wala Iran (haiwezi kuamrishwa kusitisha vita yake)

    Trump's playing the ultimatum game with Russia: 50 days or 10… He should remember 2 things: 1. Russia isn't Israel or even Iran. 2. Each new ultimatum is a threat and a step towards war. Not between Russia and Ukraine, but with his own country. Don't go down the Sleepy Joe road! — Dmitry...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

    Apewe maua yake Nyani Ngabu kwa uchambuzi yakinifu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

    ".....They far exceeded my wild expectations!!" Nimeipenda hiyo Mkuu Nyani Ngabu
  12. S

    JamiiForums Tanzania USA yalalamika kuwa ushiriki wa majeshi ya Kim vitani Ukraine unayafanya majeshi hayo kuwa hatari zaidi kwa Japan, South Korea na Marekani

    Kwa kawaida adui yako ukiwa wamfyeka vitani ni furaha kwako. Cha kushangaza South Korea na Ukraine wamekuwa wakilalamika kuwa wanaajeshi wa North Korea (adui yao) wanaopigana vita upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamekuwa wakifyekwa kwa makumi elfu! Wakati propaganda hizo zikiendelea, North...
Back
Top Bottom