Recent content by sikiolakufa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada specialist wa masikio kwa watoto dar es salaam

    Wakuu naomba msaada..mwanangu ana umri wa miaka mitano hajawahi kusumbuliwa na masikio ila nahisi ana inflamation kwenye masikio inayomsababishia homa je dar doctor gani anaweza nisaidia? Maana muhimbili ndiyo hivyo tena
  2. S

    JamiiForums Tanzania mpenzi wangu mpya ana bonge la besi

    hahahhahahahahhhahhahahahahaahhahahhaahahahhahahhhah mkuu angalia asije kudunda migumi hahahahahha
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Advocate Nyaga Mawalla utata mtupu

    Hivi kwa nini sisi watu wazima tunajadili kifo cha mtu aliyejiua mwenyewe? si shauri yake? kama aligombana na baba yake ? Azikwe huko huko...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wale watoto wanaovisha mataji viongozi hupatikana kwa utaratibu upi?

    Ni wanafunzi wa shule ya msingi mbuyuni huwa wanaandaliwa kwa kazi hiyo...mkuu unataka kumpeleka mwanao? siyo tenda hiyo mzee
  5. S

    JamiiForums Tanzania Books are one of the very rich sources of knowledge BUT Do our Politicians take time to read at all?

    JK anasoma magazeti ya udaku ya shigongo
  6. S

    JamiiForums Tanzania Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

    Lakini kwa jinsi nilivyoiona ile video...dah ni lazima huyo jamaa akanyee debe segerea!!! anaongea kabisa mipango ya kudhuru binadamu dah...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mugabe defies travel ban,slips into Italy for papal inaguration

    soma vizuri post yangu uielewe si kudandia dandia tu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mugabe defies travel ban,slips into Italy for papal inaguration

    Hivi jamanio mbona mnadandia hoja tu bila ya kuelewa? kwani hii ni mara ya kwanza mugabe kwenda vatcan?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke atakayekuwa mke wangu wa maisha(naomba walio serios tuwasiliane)

    Mkuu kwa umri wako inanipa tabu kidogo kwa nini hujapata msichana wa chaguo lako maana mapenzi huanzia shuleni kanisani msikitini sehemu ambazo unakutana na watu wa aina tofauti tofauti...kuna wasichana wengi tu wazuri ila kwa sababu ya shida wanajiuza sinza kama uko dar...unaweza kubahatisha...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Unataka kuwa dereva Dsm? Soma hapa

    kama vile we kum... duh modi wasije kunipiga ban
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais lazima uende kasi?

    Je zile BMW za kikwete si bullet proof...?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Taifa sasa hatarini kuingia gizani

    Yaani na wewe umekubali kuwa sehemu ya propaganda ya CCM? hatutaki utuletee upampaf huu humu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    mkuu kwa hiyo hana ulinzi?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    Msafara wa rais unakimbia sana bila ya kuzingatia hali halisi ya barabara zetu, hii ni kuhatarisha hata maisha yake mwenyewe...kuna haja gani ya kukimbia speed 120/hr sehemu zenye msongamano wa watu na magari? Ndiyo madereva wote wa msafara huyo ni wazoefu wakubwa na wenye mafunzo ya kila namna...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    nalia machozi na familia ya huyu mama maskini ee mungu ee jamani amekosa nini mama huyu!!! Yalaa mamaa eee hiiii mama eee!!!!
Back
Top Bottom