Recent content by Sikanyagha

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui)

    Asilimia 100%. Ni sisi wananchi tumetoa.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, kila mwanamke ana utamu wake

    Alafu wapaka mate ndio wakwanza kujisifia. Utakuta jitu limekupaka mimate, afu linatwanga tu hata halijui kukoroga linakuuliza baby umeinjoi? Woooi! Nyie wanaume nyie, sema tunawastahi sana!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Dada zetu wa humu Mijini kwanini siku hizi wengi wenu mnapenda kujifungua kwa kupasuliwa tumboni na hampendi ile njia ya kawaida?

    Hii mada huwa inaniumiza na kunikwaza mnoo! Sidhani kama kuna mwanamke anapenda kujifungua kwa upasuaji. Complications za uzazi ndio zinasababisha daktari akufanyie operation ili kuokoa maisha ya mama na mtoto. Mfano mimi mwenyewe hapa nina watoto wawili wote nimejifungua kwa upasuaji. Kabla...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu nisomee field gani?

    Ajira zipo nyingi serikalini, kwenye makampuni ya ujenzi pia ni rahisi kuanzisha kampuni yako tofauti ta field zingine. Kifupi construction industry inakuwa kila siku. So huwezi kushindwa kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu nisomee field gani?

    Ajira zipo nyingi serikalini, kwenye makampuni ya ujenzi pia ni rahisi kuanzisha kampuni yako tofauti ta field zingine
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu nisomee field gani?

    Kasome field zinazohusika na construction industry, mfano civil (structucture) engineering, architecture au interial design
  7. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

    Bado kipo? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mnisaidie hili Please: Hawa wadudu wanataka kunihamisha home kwangu

    Dawa za kutokomeza panya mmnazo? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wazazi tunatengeneza kizazi cha hovyo sana cha baadaye

    Kwanini unamnenea mabaya mtoto asiye na hatia yoyote? Hii ndio hekima ya kizazi chako unayojivunia?? So sad!
  10. S

    JamiiForums Tanzania Viwanja kigamboni kwenye showrooms za magari

    Vina ukubwa gani?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume mwenye VVU

    Kwahiyo wewe umejihakikishia kuwa hutowaacha watoto yatima?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume mwenye VVU

    Wewe unajua utaishi miaka mingapi? Be careful unaweza ukatangulia wewe mkuu!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu anasagana

    Umetisha
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nikiambiwa nichague kati ya mwanaume mzee wa miaka 70 na kijana mnene nachagua mzee

    Ukiona hivyo ujue unawapa maumivu sio starehe tena. Kifupi bado hujui kufanya mapenzi. Ungekuwa unayaweza basi ungekimbiliwa sio kukimbiwa. Pole.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    Point!
Back
Top Bottom