Recent content by sikambi

  1. sikambi

    Davido atambua mchango wa Tanzania

    Watanzania wengi ni mbulula wanaleta chuki ambazo hazina msingi wowote diamond ataendelea kuwa juu.RIZIKI HAIPANGWI NA MTU ANAOPANGA NI MUNGU PEKEE.
  2. sikambi

    Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uadui

    Mambo ya chadema yanakuhusu nin endelea hukohuko
  3. sikambi

    Mpenzi wangu hajui kucheza Music

    Kwan wew unataka ajue kucheza mziki au ajue kulisakata lumba kwenye 6 kwa 6
  4. sikambi

    Mbowe: Kuliko tukubali sheria mpya ya habari tutasimamisha Bunge

    Naunga mkono hoja TBC wataangalia wao sis ITV daima
  5. sikambi

    Haya ndio majina ya kike na kiume yenye mvuto wa kimapenzi

    Majina yenye mvuto lako lipi
  6. sikambi

    Wanaume wewe ndo umetongozwa na mwanamke, nini mtazamo wenu katika hili?

    Mwanamke kumtongoza mwanamume kwa mila za kiafrica si busara ila mkumbuke nae ana haki ya kupenda.Binafsi sion tatizo liko wapi akisema ananipenda basi inabid nimpokee tule raha.
  7. sikambi

    Tuhuma nzito dhidi ya Spika ANNA MAKINDA na Katibu wa Bunge Ndugu KASHISHILA

    Bunge lenyewe linamshinda urais ndio ataweza
Back
Top Bottom