siku ya harusi yetu kwenye kile kipengele cha bwana na bibi harus watufungulie music itakuaje unadhan mkuu?si ataniaibisha mkuu?
ASA si umuache utafte anayejua kudensi...
Mbn wengi tu hawajui kucheza lkn harusi zinafungwa?
Utajisikiaje akikwambia hujui kumfanyia a and b?
Wa kwanza kubadilika Ni ww mfundishe trtb hayo ndo mapenzi...me nakumbuka nilikua na aibu sn ya kumuangalia machoni mwenzangu lkn alinifundisha trtb nikazoea! Wengine aibu huchangia