YEGOSHIKA, nashukuru sana kwa majibu yako mazuri, hizo components nyingine kwa kweli sijauliza,
Actually hii ndio mara yangu ya kwanza kupima kwa sababu hawa jamaa, kila kitu lazima upime, huwezi pewa dawa, mpaka upime.
KUSEMA kweli hata mimi nimeshangaa lakini inaonekana hizi measurement za...