ni jambo zuri sana kuwa na site hii kwani inatuelimisha na kutuburudisha,nimekuwa ni memba wa blog hii kwa muda mrefu kidogo na nimejifunza mengi kwa kweli.kuna baadhi yetu tumekuwa tukichangia vizuri na kutoa ushauri kwa wenzetu wenye matatizo mahusiano yao ya kimapenzi lakini kuna baadhi...
Jamaa mmoja alikuwa akitokea shamba pamoja na mkewe.... Wakiwa njiani waliona uyoga, wakaung'oa na kwenda nao nyumbani kwa lengo la kwenda kupika na kuula. Lakini kabla ya kufika nyumbani, wakahofu kwenda kula ule uyoga wakihisi unaweza kuwa si uyoga wa kula.
Basi wakaamua wapike uyoga...
wana JF mi nina swali naomba mawazo yenu.Hivi kwa nini sisi wanaume hatupendani na kujaliana wenyewe kwa wenyewe? hivi punde nilichomoka ofisini na kwenda bank ya NMB kwenya ATM nikakutana na bonge la foleni kama mbagala,niaamua kuingia ndani ili nisaidiwe kule ndani nikamfuata kijana mmoja wa...
mzee sijamtusi sinkala kuna kabila moja linaitwa wanyamwanga ni wenyeji wa mkoa wa mbeya na sinkala ni mmoja wao,sinkaLA TAFADHALI naoomba uwaambie wana JF kwamba sijakutusi.
mambo vipi wana JF,hivi mmeshawahi kujiuliza kama kiungo cha mwanaume kingekuwa kama kifutio je ni wangapi wangekuwa na hivyo vifutio mpaka sasa toka wabarehe.nawakilisha kwa pamoja tujadili.
mambo vip wana JF,hivi mmeshawahi kujiuliza kama kiungo mb.. cha mwanaume kingekuwa kama ufutio wa penseli je ni wangapi wangekuwa na vifutio mpaka sasa.nawakilsha na tujadili.
usiseme hivyo kwani hata kama hukuwahi kufikiria kumpiga mpenzi wako kuna baadhi ya mambo yanaudhi na yanaweza kukulazimisha tu kuchukua hatua ya chriss.
mr pole sana kwa yanayokupata,cha muhimu ni kumueleza ni nini hatima ya vitendo vyake,for how long will you tolerate humiliations from your wife,you are doing more than enough for her,what she z doing to you is not fair at all she cant keep on not talking to you for more than three days.my...
we ukita kujua kama amedo au hakudo,akifika tu mpe mambo fastafast kama wewe ni demu wake.na ukiona anachukua muda mrefu kumaliza jua tayari,insu kama hii iliwahi kumtokea mshikaji wangu lakini yeye alipass quiz hiyo.
Jamaa mmoja ni mwanafunzi wa chuo cha TIA mwaka wa tatu kwa sasa yupo field mkoani morogoro,aliamua kwenda kufanyia field mkoa huo ili awe karibu na du wake ambaye anasoma SUA. Binti naye akadanganya kwa kuwa chuo cha kinafunguliwa mwezi wa 9,alidanganya ili apate nafasi ya kujinafasi na njemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.