why r u so Obbsessed with me

Binti Maringo

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
2,804
88
Oh god you slut stop being so obssesed with me....if youcan't deal with the fact then chukua kamba jinyonge or kunywa vyupa......uuuuuuuugh!...sick and tired huonjeshiw sasa unataka kuchonga mzinga gadamit!....unani stalk na kuni gooogle 24/7 huchoki?.....
 
Oh god you slut stop being so obssesed with me....if youcan't deal with the fact then chukua kamba jinyonge or kunywa vyupa......uuuuuuuugh!...sick and tired huonjeshiw sasa unataka kuchonga mzinga gadamit!....

Kelly, kuna watu wengine hawapaswi kuonjeshwa asali... watataka kula hadi nyuki achilia mzinga!! Pole kwa yaliyokukuta. Can we help in anyway to resolve the perceivable differences?!
 
Kelly, kuna watu wengine hawapaswi kuonjeshwa asali... watataka kula hadi nyuki achilia mzinga!!

LOL!....SteveD wala si uongo ni kweli kabisa alafu ana kustalk every minute,second and hour hadi unajua why did you just onjesha them asali i guess ningeanza na mzinga kwanza......mtu anakuwa obssesed na ww hadi inaleta kero...if i only knew....

Steve...i guess msaada naohitaji ni kumwambia mr obsseser to stay away from me....i guess akisikia sauti ya kidume atakimbia.....
 
Not necessarily, but it is okay as a one way to skin a cat bearing in mind that there are times we men are driven by testosterones, hence the thought of any confrontational engagement can have counter-productive outcome.
Kelly am wondering...don't you see any room to resolve the issue amicably?! Pls give it a chance, I'll try to arbitrate.
 
Oh god you slut stop being so obssesed with me....if youcan't deal with the fact then chukua kamba jinyonge or kunywa vyupa......uuuuuuuugh!...sick and tired huonjeshiw sasa unataka kuchonga mzinga gadamit!....unani stalk na kuni gooogle 24/7 huchoki?.....

kumbe we mtamu ivo hadi watu wanakuwa obsessed? LOL

Ingekuwa mimi, ningejua kuna asali nyingine so kwa amani ningejikata zangu..ya nini kuwekeana bifu na dunia imejaaliwa hivi!
 
hey pole sana, inaelekea mambo yako uwanjani yanamdatisha mshikaji ndio maana anakuwa so high.
 
Kelly mbona unalalamika namna hiyo pole kwa yalo kusibu

kuna mtu anataka kuchonga mzinga??
 
LOL!....SteveD wala si uongo ni kweli kabisa alafu ana kustalk every minute,second and hour hadi unajua why did you just onjesha them asali i guess ningeanza na mzinga kwanza......mtu anakuwa obssesed na ww hadi inaleta kero...if i only knew....

Steve...i guess msaada naohitaji ni kumwambia mr obsseser to stay away from me....i guess akisikia sauti ya kidume atakimbia.....

kwa nini ulimuonjesha lakini??
 
mmmh kelly hii ulotuachia leo kali! maana umekuja hapa umewaga maneno ambayo kidogo hayapendezi kutoka kinywani kwa mrembo kaa wewe! sista mbona unaniangusha!

umejawa na hasira hata shida yako umeshindwa kuiweka wazi? calm down, ksha sema kaa unahitaji kufunzwa nanma ya kumtimua mwanamme aliye obssessed nawe
 
So what do you want from us now...!

Ushauri au?..coz i cant help here...just seeing a chain of complaints!

Kama yuko hapa jamvini mPM bana, na kama hayumo, then njia aliyotumia

kukutongoza tumia hiyohiyo kum`mwaga!
 
Sasa mbona wakati mnakubaliana hadi kuonjeshana asali hatukuhusishwa, na ninaamini kuna njia mlitumia kuwasiliana which i think ingekuwa vema maneno haya yaliondikwa hapa kumfikia direct kwa njia ile ile, otherwise ungetaka ushauri jukwaa hili ungeipresent ieleweke ili wadau tuingie chimbo kusaka nondo za kukushauri, sasa namna hiio unatutega na kutupa homework isiyo lazima.
Ila pole kwa yote, ndo ubaya wa kuonjesha bila malengo.
 
kukutongoza tumia hiyohiyo kum`mwaga!
Hilo nalo neno.
ila unalalamika mno aisee... Sasa itakuwaje kama huyo ndo destiny wako?
Ulishawahi kumwambia unayotuambia????
Nafikiri usitafute suluhu kwa jirani kabla haujajaribu ktk paa lako.
 
kelly unamsema mwanajf mwenzetu au?! ngoja kwanza niangalie watakaochangia...kama waleee hawapo basi nitajua tu kuwa kwenye kundi la njiwa kaingia kunguru..........subiri kwanza
 
anajipaisha bure tu huyu kelly.kama upo dar ni-piemu nikuthaminishe ili nimshauri shemeji yangu krispini akuchukue jumla jumla
 
anajipaisha bure tu huyu kelly.kama upo dar ni-piemu nikuthaminishe ili nimshauri shemeji yangu krispini akuchukue jumla jumla

Shemeji kwa kunipigia mapande nakuaminia. Kaza buti bwa shee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom