Recent content by sijui nini

  1. sijui nini

    Miaka elfu saba ijayo, atheism itakuwa ndio dini kuu duniani. sababu zipo hapa chini

    Good movie.. Nimeziangalia movie zote mbili..ziko poa, kwa wanao fatilia mambo ya space travels
  2. sijui nini

    Miaka elfu saba ijayo, atheism itakuwa ndio dini kuu duniani. sababu zipo hapa chini

    According to the current science knowledge its impossible kuweza kusafiri kwa 100% speed of light.. But still you never know what's still ahead of science.. Ndio maana kwa sasa inapokuja issue ya long distance space travels wanascience wanaongelea sana mambo ya wormholes na gravity...
  3. sijui nini

    Miaka elfu saba ijayo, atheism itakuwa ndio dini kuu duniani. sababu zipo hapa chini

    Hiyo miaka ya dunia mnatumia reference gani? Maana sidhani kama mnaelewa zile law za physics hasa relativity na issue za light travel.. Hapo mkumbuke tunaongelea umbali kwa kulinganisha na mda ambao mwanga ungesafiri kutoka duniani. Thats means kama kuna possibility ya kusafiri kwa speed ya...
  4. sijui nini

    Miaka elfu saba ijayo, atheism itakuwa ndio dini kuu duniani. sababu zipo hapa chini

    Hapo kwenye distance ya alpha centaur kutoka dunia sio sahihi... Ni 4.35 light years na sio hiyo 4367 uliyosema... That means mwanga unaweza kusafiri kutoka dunia to alpha centaur kwa muda wa miaka 4.35.. Na alpha centaur ni mfumo pekee wa sayari ulio karibu na mfumo wetu wa jua na wanasayansi...
  5. sijui nini

    Alhamdulillah

    Happiest birthday to you pal.. [emoji512][emoji512]
  6. sijui nini

    Looking for a friend only for chatting

    Breathe. Let go. And remind yourself that this very moment is the only one you know you have for sure.. If you are going through that then i am too.. Just looking for friend wa kubadilishashana mawazo about life experience .. Asiwe from nyanda za juu kusini because that's where I am from and am...
  7. sijui nini

    Kwa budget isiyozidi 600k kwa sasa ni simu gani inafaa zaidi

    Nashukuru sana wazee.. Wacha nifanye mpango niongeze kidogo nichukue hiyo kitu
  8. sijui nini

    Kwa budget isiyozidi 600k kwa sasa ni simu gani inafaa zaidi

    Habari wadau.. Kama kichwa kinavyojieleza, tuajua technology inakwenda kasi na mambo yanabadilika sana. So ningependa kujua kwa range ya budget hiyo simu gani nzuri naweza nikapata maana nataka kununua simu soon. Asante.
  9. sijui nini

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Mara moja moja sio mbaya kuwadhulumu madogo carton na kutumia screen ya tv kupiga route mbili tatu.... [emoji38]
  10. sijui nini

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    🤣 🤣 Anyway..maana yake ni kuwa kwa kawaida jamaa wa steam huwa wanauza hulu game 20$ ila kwa sasa wameweka punguza maalum bei imekuwa 5$ tu (kama 12,000/-) na hiyo ni game original ambalo unaweza kuacheza online, pia zile dlc na map mbalimbali zimeshuka bei sana nyingi ni zaidi ya 50% off so...
  11. sijui nini

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Wazee hatuwaoni mko wapi..? Niko na katashime hapa..
  12. sijui nini

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Poa changamka kaka.. Tupo show room ya iveco hapa tunakusubiri
Back
Top Bottom