Recent content by Sijali

  1. Sijali

    Boniface Mwangi na Agatha wakielezea walivyofanyiwa udhalilishaji wa kingono na Polisi wa Tanzania

    Jinga, pumbavu wewe. Unatunga mambo kutoka kchwa chako kilichojaa mavi, wakati siye twakasirika kwa nchi yetu kugeuka kuwa ya kishetani na dhuluma?
  2. Sijali

    Ushahidi wa Boniface Mwangi unadhihirisha Tanzania haifuati utawala wa sheria

    Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya. Ninavyowajua...
  3. Sijali

    Uzalendo vs ukweli. Nachagua ukweli

    Mbunge Musukuma alisikika akiunguruma Hatuna chochote cha kujifunza kutoka Kenya! Waakenya tunawazidi kwa kila kitu: akili, siasa ....! Kwa Musukuma kudai ana akili kubwa.....ni kichekesho cha mwaka huu. Wakenya walidukua saiti yake mtandaoni wakakuta alifeli la saba, tena la Tanzania! Ikawa...
  4. Sijali

    Hiki walichofanya Saudi Arabia ni tusi kubwa kwao na kwa waislamu wote duniani

    kITU KISICHOJULIKANA NI KUWA UKOO MZIMA WA SAUDI ASILI YAO NI MAYAHUDI WA KHAYBAR ( KUNA KITABU KILICHAPISHWA NA DR.MMOJA WA IRAQ ALIYEFANYA UTAFITI WA MIAKA 12. VITABU HIVYO VILINUNULIWA VYOTE NA WASAUDI VIKACHOMWA MOTO NA DR ALIUAWA KWA KIFICHO MIAKA YA 70). HUU UISLAMU WA MAWAHABI PIA...
  5. Sijali

    Uzushi mwingine kumhusu Ibrahim Traore!

    WaTanzania kwa kawaida yao hawampendi mtu mwenye mafanikio: ya elimu, uchumi nk. Ni watu wenye wivu kupita kiasi. Wana chuki kuwa mbona wao hawako hivyo? Halafu wanataka tu bila ya kujitaabisha! Ukisoma post juu ya Wakenya ni hivi hivi. Kuna kitu 'very wrong psychologically' juu yetu. Kama watu...
  6. Sijali

    Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

    Ni kupoteza wakati tu. Isipokuwa nikuelimishe mawili matatu, sidhani kama utakubali hata maazimio ya Kimataifa maana umenyweshwa udini ukakuingia mpaka kwenye medullae oblongatae yako (nenda kwenye Kamusi uelewe ni nini hiyo). Katika maamuzi ya Umoja wa Mataifa mwaka 1947, ululiamua nchi hii ya...
  7. Sijali

    Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

    Uko huo kwa muda lakini hukusoma. Unajua kuwa wamama wa Kifalasha walipigwa sindanio na Wayahudi ili wasizae watoto weusi? Au hii pia utawatetea Wayahudi waliomwua Mungu wako? Ajabu sana hii. Sasa kama Wayahudi walimwua Mungu wako, unadhani Mungu wako atafurahia unawakumbatia? Ni kama...
  8. Sijali

    Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

    Hii ndiyo 'defence' ya mtu asiye hoja. Kakojoe ulale kaka. tosha. Usijaribu sana.
  9. Sijali

    Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

    Katika watu 'ignorants' duniani ni hawa waliobatizwa kwa maji ya mfereji huku Afrika. Wao kila kitu wanatazama ni Mwislamu si Mwisllamu: hakuna haki, historia nk... Suala la unyama wanaofanyiwa Wapalestina hivi sasa linatetewa na Wakristo wengi duniani hata kuliko Waislamu. Kila wiki maandamano...
  10. Sijali

    Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

    Kila mtu aweza kuweka video. Wee pia kama wajua waweza kutuonesha unazungumza nasi kutoka mwezini!
  11. Sijali

    Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

    Then, Mandel alikuwa gaidi, Ben Bella alikuwa gaidi....huo ndio ugaidi wanaozungumzia. Wako ni upi?
  12. Sijali

    Kiongozi Mkuu wa Hamas, Mohammad Sinwar kapelekwa kwa kaka yake Yahya Sinwar

    Mwongo, mdini mkubwa wee. Wee uko kwenye 'guided tour' utajuaje? Watu wanazungumza logic hapa siyo udini wa kijinga.
Back
Top Bottom