Recent content by Sigwame

  1. S

    JamiiForums Tanzania KASHFA WIZARA YA ELIMU:Wanafunzi kumi bora wapewa zawadi hewa

    Wapi Mulugo asingekubali utapeli wa kiasi hicho
  2. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ghalibu Bilal agawa zawadi hewa kwa wanafunzi Bora

    Wamelikoroga lakini neno uwajibilkaji halipo tena vinginevyo Waziri na Katibu Mkuu wake walipaswa wawe wameachia ngazi
  3. S

    JamiiForums Tanzania KASHFA WIZARA YA ELIMU:Wanafunzi kumi bora wapewa zawadi hewa

    Wakati wabunge wakiijia juu Wizara ya Elimu na Mafunzo kutokana na kuwepo kwa hali ya kuporomoka kwa kiwango cha elimu nchini, kashfa ya aina yake imeibuka ikihusisha wizara hiyo kumtumia Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal kuwapa zawadi hewa wanafunzi 10 bora wa mwaka jana. Taarifa zilizozifikia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ghalibu Bilal agawa zawadi hewa kwa wanafunzi Bora

    Wakati wabunge wakiijia juu Wizara ya Elimu na Mafunzo kutokana na kuwepo kwa hali ya kuporomoka kwa kiwango cha elimu nchini, kashfa ya aina yake imeibuka ikihusisha wizara hiyo kumtumia Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal kuwapa zawadi hewa wanafunzi 10 bora wa mwaka jana. Taarifa zilizozifikia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Mtanzania akamatwa na cocaine Msumbiji akitokea Brazil

    Hii habari ya watanzania kukamatwa na madawa ya kulevya hadi lini jamani?
  6. S

    JamiiForums Tanzania CCM: Joshua Nassari hajawahi chimba hata tundu la CHOO Meru

    Kwani kazi yake ni kuchimba matundu ya vyoo?
  7. S

    JamiiForums Tanzania maombi ya mkopo wa elimu ya juu kwa wahitimu waliomaliza kidato cha sita2014

    Hivi hakuna uhusiano kati ya jinsi mwanafunzi alivyofaulu na maombi ya mkopo?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali Yabadilisha Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha Sita 2014: DIV I point 3-7

    Serikali imetoa mwongozo wa viwango vya ufaulu ambao unaonesha kuwa Kidato cha sita waliomaliza mtihani wao leo tarehe 21/05/2014 watapangiwa matokeo kwa kutumia mfumo wa alama zilizotumika Kidato cha Nne 2014 zenye A, B+ C, D, E na F. Tofauti na miaka iliyopita E itamaanisha kufeli na siyo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Viwango vya Ufaulu kwa Kidato cha sita 2014 na Kidato cha Nne 2014

    Katika kupitia tovuti ya NECTA nimekutana na huo mwongozo wa viwango vya ufaulu ambao unaoinesha kuwa Kidato cha sita waliomaliza mtihani wao leo watapangiwa matokeo kwa kutumia mfumo wa alama zilizotumika Kidato cha Nne 2014 zenye A, B+ C, D, E na F. Tofauti na miaka iliyopita E itamaanisha...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

    Jamani naomba mnijuze huu upangaji wa madaraja ukoje naona mwenye pointi chache ametaga yai pointi nyingi zaidi Div IV
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za kisiasa zisizotimilika zaikumba wizara ya elimu

    Nadhani kauli tunayopaswa kuiamini ni ya Naibu Waziri Jenister Mhagama maana Katibu Mkuu wa Elimu Profesa Mchome ni mtu wa kujisemea tu bila kuangalia uhalisia na ndiyo maana mambo yake ya Div V yalitenguliwa bungeni.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Udahili wa pamoja sekondari ni ujuha?

    Tatizo kubwa ni kuwa viongozi wakuu Wizara ya Elimu sana Shule zao binafsi kwa hiyo wamekuta na huo Mpango kwa maslahi Yao binafsi lakini ukweli ni kuwa hakuna mazingira ya kufanikisha Mpango huo maana ubora wa Shule umetofautiana sana. Kama Wizara Ina hela za kupeleka Provate schools mbona...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

    Kama iliwezekana kufuta matokeo ya Kidato cha Nne na kuyatangaza upya, hivi ni nini kitakachoshindikana kwenye elimu?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

    Sasa hiyo taarifa inaonesha jinsi viongozi wote kwenye Wizara ya Elimu walivyo MAJANGA KWA TAIFA LETU
  15. S

    JamiiForums Tanzania Waliofeli Kidato cha Pili kuendelea na Masomo

    Tumechoshwa na ubabaishaji katika elimu
Back
Top Bottom