Madawa ya Kulevya: Mtanzania akamatwa na cocaine Msumbiji akitokea Brazil

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,481
2,000
Mtanzania ambaye hajatajwa jina amekamatwa na dawa za kulevya aina ya cocaine katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji.

Kwa mujibu wa msemaji wa polisi, Orlando Madumane, Mtanzania huyo amekamatwa baada ya kutua uwanjani hapo akitokea Brazil.

Alikutwa akiwa na jumla ya vidonge 70 vya cocaine kwenye tumbo. Kwa sasa anashikiliwa katika kituo cha polisi cha Maputo akisubiri kufikishwa mahakamani.

May 20, 2014

The Mozambican police arrested a 27 year old Tanzanian at Maputo International Airport last week for drug trafficking.

At his weekly press briefing on Monday, the spokesperson for the Maputo City Police Command, Orlando Mudumane, said that the Tanzanian had travelled from Brazil with 70 ampules of cocaine in his stomach. He was submitted to a medical procedure to expel the drug, and is currently under preventive detention in a Maputo police station.

Mudumane also announced that a suitcase was seized at the airport contained pieces sculpted from ivory and two rhinoceros horns, presumed to be the result of poaching. The suitcase was owned by a Vietnamese citizen who was taking it back to Vietnam. But when he realized the bag had been seized, he fled from the airport.

Mudumane said this was the second case of such seizures within a week, and the owners of the bags had all managed to escape. "Measures are under way to discover the whereabouts of these individuals, who are all Vietnamese", he said.
 

Ben Saanane

Verified Member
Jan 18, 2007
14,595
2,000
Hii aibu hii.Siku hizi Ukipita Kwenye Airport za Kimataifa Pasi yako inakaguliwa na kutazamwa kama vile ni mtu usiyeaminika.Tumewafunika hadi Nigerians sasa
 

palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,340
0
passport ya tanzania ni inadharaulika sana.

swali la kwanza lazima uulizwe "what do you do for a living?" ukijikanyaga tu wanakupeleka chemba.
 

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,343
1,500
Inaudhi sana, kuna siku nilikaguliwa na kupigwa picha Mimi tu had teammate wenzangu wa nchi nyinngine wakasema why you? Nikasema I don't know
 

annalolo

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
309
0
Aibu kubwa kwa nchi yetu sasa visa ndo zinazidi kuwa ngumu especial schengen visa. na mahakama zetu hazieleweki kama walivyowaachia huru wale wahindi w madawa ya kulevya arusha mahabusu wakapinga kwa kuvua nguo
 

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,343
1,500
Hatuaminiki tena. tumechafua CV yetu kimataifa. Sintashangaa kusikia msafara wa rais umekaguliwa airport
 

Mdakuzi

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
2,752
2,000
Cha kufanya ni kuondoa MaCCM madarakani ili tusafishe jina la nchi yetu. Ova
 

ligera

JF-Expert Member
May 17, 2014
2,650
1,250
ukiona kiongozi anahudhuria mazishi ya msanii yeyote jiulize mara mbilimbili.
 

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
7,684
2,000
nasubiri membe akanushe kuwa si mtanzania ni Mnigeria anayetumia pass ya tz!
 

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
7,684
2,000
khaa!! Jinga kwelikweli hazo ni mambo binafsi. Hata kama malaika awe madarakani hawezi zuia hilo. Biashara hii haijaanza jana wala juzi

Unadhani malaika atakalia orodha ya wauzaji kama alivyokalia baba yenu Mr smile ever!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom