Recent content by Siguta

  1. Siguta

    Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

    Ibada ya Gwajima Leo itarushwa live kwenye Chanel gani?
  2. Siguta

    Basi gani zuri luxury Arusha Dar

    IBRA Line ni uko vizuri
  3. Siguta

    Karma ni hatari: Mzanzibar aliyebeza COVID-19 huko ughaibuni, imempata

    Ujinga wako mwenyewe..watanzania sio wajinga
  4. Siguta

    Upotoshaji wa Chanjo ya CoVid 19: Nusura nijeruhiwe na Wanakijiji

    Kumbe hata ukichanjwa bado uwezekano wa kuambukizwa corona upo na barakoa utaendelea kuvaa...kwa hali kama hiyo umuhimu chanjo ni UPI? Bado haijangia akilini...tusiwe watu wakuletewa na kupokea kila kitu kunaumuhimu pia wa kuvifanyia tathmini..pia tusiwakejeli wenye maono tofauti na chanjo...
  5. Siguta

    Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Kuwa CCM na kupinga chanjo ya corona vinauhusiano gani? Kwani chanjo nayo ni Sera ya CCM?
  6. Siguta

    TAKUKURU waonesha Rushwa ya ngono ilivyokithiri vyuoni

    Rushwa ya ngono ni kila mahali na ni vigumu kuepukika
  7. Siguta

    Tukio limetokea Marekani, wanaoumia na kuteseka ni watanzania

    Kila mauaji yanapotokea yanakua na chanzo na sababu zake mpaka yatokee Na watu hujikita kwenye hizo sabab kulaan au kuunga mkono mauji hayo. Mfano vita vya Islael na Palestina vipo kiiman zaid, huwez kufananisha na kifo cha fobby
  8. Siguta

    Wizara ya Afya, mnawaachiaje watu wenye dalili ya Corona waendelee na shughuli zao?

    Kwakweli inasikitisha sanaa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Siguta

    Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

    Pole sana my sister amin Mungu yupo na anakupenda Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Siguta

    Njoo na business plan yako nakukopesha kati ya 250,000 hadi 400,000 kama wazo lako ni realistic naongeza mtaji

    Huyu jamaa kama anamaanisha, kunawatu atawasaidia katika hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Siguta

    GE2020 Kampeni za mwaka huu kwa upande wa Chama Tawala zitachosha sana masikio

    Waliahid pia kutokomeza nyumba za udongo na nyasi kwa kushusha bei ya vifaa vya ujenzi kama nondo, cement na misumari Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Siguta

    Hii ajali jana nusura itutoe roho

    Hajapatikana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom