JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Alimaanisha Nini?
kama binti niliejitoa katika himaya ya mapenzi baada ya kuumizwa vibaya na first love kisha kuoa imeaditely baada ya breaking up with me, niliapa kuwa sitopenda tena!! nilibainisha msimamo wangu kwa muda wa miaka miwili kukaa bila mtu, ingawa nilikumbana na vikwazo vingi, vishawishi na tamaa but...