Recent content by sigiye

  1. S

    JamiiForums Tanzania TCU hawatoi hatma yetu ambao hatukuripoti chuo mwaka jana

    Mimi nimeandika barua lkn bado naandikiwa prior admission found sasa hawa cjui wanataka tusiende chuo?
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini meseji zake za mkato

    Moyo mashine achana nae fanya mambo yako ya msingi bhana kwani yuko pekee yake utapata mwingine wa kufanana na wewe huyo hakufai nakuchana live
  3. S

    JamiiForums Tanzania TCU hili halijakaa sawa kabisa, siamini kuwa hamulioni!

    Sasa kuna mtu alikulazimisha uende sayansi?
  4. S

    JamiiForums Tanzania TCU yafungua mfumo wa udahili wa pamoja(CAS) kwa mwaka wa masomo 2016/2017

    Jaman msaada me nilimaliza mwaka jana six nina BDD cutoff point 4 masomo mawili yan BD sasa naweza kupata chuo hapo au nikalime mchicha coz mwaka jana nilipata chuo nikahairisha kwenda
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuapply kwa huyu mdog wangu wa form six

    Vipi kama nilipata BDD six mwaka jana 2015 nakubaliwa???
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuapply kwa huyu mdog wangu wa form six

    Sir doctor ulitumia matokeo yako ya G.P.A ya six mwaka jana na je vipi mfano mtu alipata BDD je anakubaliwa kudahiliwa chuo kikuu coz ana cutoff points 4 hapo kwa masomo mawili
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je, tarehe ya mwisho ya kuapply TCU kupitia CAS inafahamika?

    Tar 30/08/2016 deadline TCU
  8. S

    JamiiForums Tanzania TCU yafungua mfumo wa udahili wa pamoja(CAS) kwa mwaka wa masomo 2016/2017

    Jaman mbona kwenye guide book wameandika D ya mwaka 2015 ni point 1 hii inakuaje sasa maana mwenye B Plain ni 3 maana yake ukiwa na BD ungechukuliwa tusaidiane hapo??
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa elimu wa LAPF ukoje?

    Mshahara kaka
  10. S

    JamiiForums Tanzania 50,000 ya kuombea chuo TCU inalipwaje?

    Watatoa kesho ili watu wan kuomba
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wakuu ntampeleka wapi huyu mdogo wangu wa kike?

    Na aliyepata CEE inakuaje hapo mkuu??
  12. S

    JamiiForums Tanzania TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    Daaaah guyz me nimepata CEE hamna chuo hapo au nikauze mitumbaaa karume?
  13. S

    JamiiForums Tanzania TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    So mtu amepata BD ya mwaka 2014 hakuna chuo na cut of point ni 4.0?
  14. S

    JamiiForums Tanzania TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    Mfano mtu alimaliza form six 2015 akapata BDD je hawez kupata admission coz hizo points 4.0 anazo hapo?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Scholarship ya Algeria kutoka TCU

    Nouma sana afu ni moja tu vacancy
Back
Top Bottom