Recent content by Sifuri kubwa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujutia kufanya mapenzi au kuwa na mahusiano na mtu? Sababu ilikuwa nini?

    Dini yetu inaruhusu kuoa wake wanne au chini ya hapo ila Imekataza vikali sana kuoa mlango mmoja wanawake wawili ,means mtu na dada yake au familia ya nyumba moja yenye nasabu ya karibu sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kudhuliwa Tundu Lissu: Imani yangu juu ya awamu ya tano imeshuka mpaka 25%

    Hao polisi Wanaothibitisha wako wapi ??? Waje wathibitishe haya madeni yetu kwanza ... Tunawasubiri polisi wathibitishe, Nani waliemteka Ben Sanane na wapi alipo Tunasubiri polisi wathibitishe kua nani aliemteka Msanii ROMA Tunasubir polisi wathibitishe nani alimtolea Mh Nape bastola...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe amejuaje aina ya silaha iliyotumika kabla ya jeshi la polisi?

    Kwani waliosema kuwa TL kapigwa Risasi walijuaje na hawakuepo eneo la tukio Je kama yale matundu ni ya mishale ? Ukikataa sio mishale ni risasi tutaanza nawewe ulijuaje kama ni risasi na eneo la tukio hukuwepo ???? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kumekucha!! Anayejiita MTUME atolewa tamko kali

    Angalia Status ya niliem_quote ,yee ndio alieanza kuudhi wengine kwa kusema uislam si dini yapaswa kupigwa vita na kila mtu hadi ipotee maana yake anataka kutulazimisha tuwe kama yee anaefuata dini yake ya namna hiyo ,kwan yee hajaudh watu ,au akinya kuku kanya ila akinya bata kaharisha ? Sent...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kumekucha!! Anayejiita MTUME atolewa tamko kali

    Wapo watu wanaitwa hayo majina ,Yupo Rafiki yangu anaitwa Rasuly na Majina Ya Akina Rasuly yapo Mengi ,na hii RASULY maana yake ni mtume ,ila kuna mchezaji wa man city Anaitwa Jesus Navas ... Tena Wapo Jesus wawili pale man city ,kuna mmoja kahama kwamana Jesus hawawez kukaa sehem moja watuana...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Muhenga wa kwanza wa kizungu

  7. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua Kiwanda cha TAMCO kinachounganisha Matrekta ya URSUS

    Duuuh magufuli si kwa kufulia huko anazindua hadi matrekta ,kuna picha moja hapo juu amepanda kwenye trekta maelezo yake ni magufuli akizindua matrekta ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. S

    JamiiForums Tanzania Lissu: Rais alipowaambia waandishi 'hamna uhuru kiasi hicho' alishauriwa na nani

    Tumia akili yako vizur ,usitumie moyo wako kufanya kaz ya ubongo , Au unajitoa fahamu makusudi ? Lissu alishaomba kukutana na Baba Bashite ila had leo hajajibiwa ,Baba bashite hana Muda wa kuongea na Upinzani had 2020 ,ulitegemea Tundu akamuulize hayo maswali kwa njia gan ?? Au wee unadhan...
Back
Top Bottom