Recent content by Sifael Mpollo

  1. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Hatua saba za muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Leo tarehe 26 Aprili 2026, Tanzania inaadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (1964 - 2026). Hata hivyo, hatukutakuwa na maadhimisho ya kitaifa kwa sababu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza fedha zilizokuwa zimepangwa...
  2. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

    Mama Janeth yupo na amepokea tuzo kwa niaba ya Hayati Magufuli.
  3. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

    Tusonge mbele na kuijenga nchi yetu.
  4. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

    Ikulu iwe mahali penye utakatifu.
  5. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

    Kinana alikuwa ziarani nchini Vietnam.
  6. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

    Kwa hakika, Ikulu Yetu, Fahari Yetu na Utambulisho Wetu. Ujenzi wake umezingatia mambo mengi, taarifa itakayotolewa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ambaye ndiye mbunifu na msimamizi itakuwa na mengi ya kutujuza.
  7. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

    Mchango wa viongozi wetu wote katika kuhakikisha, Dodoma inakuwa Makao Makuu ya nchi tutaendelea kuuenzi.
  8. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

    Kazi Iendelee.
  9. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua rasmi Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

    Leo tarehe 20 Mei 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan ataongoza uzinduzi rasmi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa JMT na watumishi wengine watahamia katika Ikulu hiyo. Sherehe hiyo ya kihistoria inatarajiwa kuhudhuriwa na takribani watu 2,500...
  10. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Ujana ni kama Moshi, ukitoka haurudi; Maendeleo ya taifa letu yanahitaji watu na watu wenyewe ni vijana

    Tuendelee kuchochea haiba chanya katika jamii.
  11. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Ujana ni kama Moshi, ukitoka haurudi; Maendeleo ya taifa letu yanahitaji watu na watu wenyewe ni vijana

    Ni vema tukawajengea uwezo vijana. Kusimamia kwao imara ndiyo heshima na maendeleo kwa mustakabali wetu.
  12. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Ujana ni kama Moshi, ukitoka haurudi; Maendeleo ya taifa letu yanahitaji watu na watu wenyewe ni vijana

    Vijana wetu ndiyo msingi wa maendeleo kwa sababu ujenzi wa taifa la kesho unawategemea vijana.
  13. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Ujana ni kama Moshi, ukitoka haurudi; Maendeleo ya taifa letu yanahitaji watu na watu wenyewe ni vijana

    Na. Sifael Essau Mpollo. Rais wa 32 wa Marekani Franklin Delano Roosevelt aliwahi kusema “We cannot always build a future for our youth, but we can always build our youth for the future.” Kwa tafsiri isiyo rasmi katika Kiswahili ni kwamba "Siku zote hatuwezi kujenga mustakabali wa vijana wetu...
Back
Top Bottom