Recent content by sienta

  1. S

    GE2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

    kama ilivyo hali halisi inavyojionyesha nchini tanzania katiba ni ya ccm watawala ni ccm wateuliwa wote ni ccm sasa serikali inaposema uchaguzi huru hamuoni kabisa ni kudanganyana . nianze kwa kusema kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ni mwanaccm kindakindaki na hata uteuzi wake unajulikana...
  2. S

    Yatakayokuja kumkuta huyu bwana baada ya kuondoka ofisini

    . opo siku maovu yake yote yatajulikana na kusomewa mashtaka zaidi ya 198 time wll tel
  3. S

    Mwenye hili gari anaibiwa mafuta hapa Arusha

    mtoa post anafaa kugongwa nyuma ningekuwanae karibu angenyonya mkonga muda huu
  4. S

    Ushahidi: Jinsi waliosaidia CCM kwenye uchaguzi mkuu 2015 wanavyoteseka

    nadhani list bado wametuumiza sana kweli dhulma humrudia mtenda cc nape ,mwigulu
  5. S

    Waziri Kigwangalla acha unafiki, kama hujui sasa nakujuza

    Huyu ni Waziri mzigo kama kinana alivyoweza kusema ukweli,simtofautishi na Waziri Fulani wa pwani aliyebebwa na jk enzi hizo mpaka kero
  6. S

    Tuache siasa za chuki, Lissu alipiwe matibabu

    Ni aibu kwa watu tunaowahisi kila Mara hawaishi kwenda misikitini na makanisa tofauti tofauti kusali ila hawataki kulipa stahiki za tl za kisheria kabisa sasa sijui ni mungu yupi atakae sikiliza maombi yao ,au ni unafki tu kutuzuga na bado aibu wanayo na vipara vitaongezeka sana kwa laana...
  7. S

    Mbadala CDA bado tu kama tupo na CDA Dodoma

    Ni muda sasa tumekuwa tukisubiri maeneo yetu yafikiwe na miundo mbinu sahihi kama vile maeneo kupimwa Barabara nk lakini malengo ya upimaji yako palepale ila utekelezaji ndio mwendo wa Kobe, Sehemu kama Nzuguni kwa Manispaa ya Dodoma ni sehemu kubwa majengo makubwa lakini hayana hati hivyo...
  8. S

    AG Kilangi hongera na pole; Jaji Masaju karibu kilingeni

    Hakuna mahakama yote maamuzi toka juu
  9. S

    Kwanini Majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama yakiwa chini ya Watu wa Mara yanakuwa Imara na Kabambe?

    Duh ila Mara ngangari labda Huyo mbishi afike nyamongo aone hata kidogo wamara walivo
  10. S

    Uchaguzi wa Kinondoni: Msimamizi wa Uchaguzi amenifurahisha, mpambano uanze!

    Huyo msimamizi nimempenda bure kinachotakiwa wapambane majukwaani
Back
Top Bottom