Recent content by sidoro

  1. S

    Magufuli, a one man show nani atamfunga speed governor akikosea?

    si bure wewe umetimbuliwa ndo maana una majungu na hakuna point hapo.watanzania wanamuhitaji huyo acha afanye kazi tuliyo mtuma
  2. S

    Magufuli hakufika kwenye majimbo Matano tu!

    Uko sahib ni kazi tu itamuondoa mtu kwenye umasiki na si vinginevyo mengine hayo ni story za vijiweni
  3. S

    Mikoa ya kuanzia maisha

    mmaisha ni kokote ndg yangu ili umepangaje malengo yako ya kimaisha uweze kusonga mbele
  4. S

    Wakati cdm ikipiga porojo, ccm inafanya haya

    barabara nyingi zilizotajwa ni barabara za tope wao wana ziita zenye kiwango cha lami zinapitika miezi 3 zinaharibika na zina bajeti kubwa sana ambao ni upuuzi mtupu,wajipange kwa mipango endelevu taifa lisonge mbele.
Back
Top Bottom