Recent content by Sidi J

  1. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Wapi wanafudisha kuongea lugha ya kichina?

    UDSM fika pale Confucius Institute huwa kuna program za jioni pia.
  2. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

    Yuko sahihi kwa baadhi ya shule...mfano, nilikosoma A-level hatukuwa na huo utaratibu wa kufuatiliana. Nilikuwa kiongozi wa darasa na attendance nilikuwa napewa na mwalimu nijaze siku wakaguzi wakija. Kwa waliosoma Malangali kabla ya 2010 (wakati wa Seme kama HM) wanamkumbuka bro mmoja kutoka...
  3. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

  4. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa Kijana Mwenye Mvuto?

    Very positive, Thank you again brother.
  5. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa Kijana Mwenye Mvuto?

    Shukrani sana, be blessed
  6. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa Kijana Mwenye Mvuto?

    Duh! Kuna haja ya kupungua kwakweli
  7. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa Kijana Mwenye Mvuto?

    Nakushukuru sana ndugu Mtafiti77 Kwakweli maelezo yako yana mchango mkubwa kwenye kuelewa hili suala. Nimeongeza kitu kikubwa sana. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  8. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa Kijana Mwenye Mvuto?

    Appreciated!, Nashukuru sana mkuu. Will try out ninachoweza kufanya. Inawezekana watu wamenielewa tofauti, niliposema "mvuto" nilimaanisha kuondoka kile kiushamba flani hivi...but all the same umesaidia.
  9. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa Kijana Mwenye Mvuto?

    Asubuhi na jioni mkuu
  10. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Waliowahi "Kulana" shule za bweni

    Yanaitwa Jumbo[emoji38][emoji38]
  11. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Waliowahi "Kulana" shule za bweni

    Maisha msisimko bwana[emoji41]
  12. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Waliowahi "Kulana" shule za bweni

    Dah! Watu mlikuwa na trick za maana yaani...wakati huo wengine kila tukijaribh hola
  13. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa Kijana Mwenye Mvuto?

    Hahahha! Ukiacha hili la ujio wa mzee Mpili, Mengine yapi mkuu?
  14. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa Kijana Mwenye Mvuto?

    Hata sina nia hiyo mwalimu mwenzangu
  15. Sidi J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa Kijana Mwenye Mvuto?

    Usiogope bhana.....naamini sijasema nataka kuwa "mrembo" mvuto kwa mwanaume ni sawa na kusema "muonekano wa mtanashati" Hata sijalenga kumuharibi yeyote kwakweli.
Back
Top Bottom