Recent content by SIDANGANYIKI2015

  1. SIDANGANYIKI2015

    Mkono Advocates wafungiwa ofisi na TRA kwa kudaiwa kodi Sh. Bilioni 1.1

    Hayo maandiko hukuyaelewa! Ni sawa na kumkaribisha Zombi kanisani
  2. SIDANGANYIKI2015

    Koboeni mahindi muondoe sumu

    Wana upungufu wa madini joto hao! Hiyo elimu waipeleke Ulaya! Tena ndio wamenizidishia hasira ya kula dona!
  3. SIDANGANYIKI2015

    Spencer Lameck pole sana na hongera sana

    Akanywe mtori tu ndo size yake!
  4. SIDANGANYIKI2015

    Mtanzania anaswa na kilo 10 za 'unga' nchini India

    Shetani huwa hatulii siku zote!
  5. SIDANGANYIKI2015

    Kipindi cha Take One cha Clouds TV hakifai kwa maadili, kinatangaza Ushoga

    Huwezi kupanga mikakati ya kutokomeza ushoga kwa kutoa Airtime ya shoga kueleza pumba zake!
  6. SIDANGANYIKI2015

    Katuni ya Said Michael kuhusu Utafiti wa UKIMWI itakuwa imeeleweka

    HATUPIMI VVU NCHI NZIMA!!!! Nimecheka sana baada ya kuiona Katuni hii ya Said Michael inayowaondoa hofu Watanzania kuhusu Utafiti wa viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania utakaofanyika kuanzia Septemba 2016 kwa kaya 16000 zilizochaguliwa kitaalam Bara na visiwani! Jambo hili limenifanya...
  7. SIDANGANYIKI2015

    Mfumuko wa bei wazidi kupungua kutoka Asilimia 5.4 Mwezi Machi hadi 5.1 Aprili

    Hii ni page ya kwanza tu ya taarifa ya NBS inayoonesha kuwa mleta uzi kaamua kwa makusudi kupotosha umma.
  8. SIDANGANYIKI2015

    Mfumuko wa bei wazidi kupungua kutoka Asilimia 5.4 Mwezi Machi hadi 5.1 Aprili

    OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member Joined:Aug 24, 2011 Wewe sheria ya Takwimu inakuhusu kwa kupotosha umma na takwimu zako za kupika chini ya mwembe!
  9. SIDANGANYIKI2015

    Mfumuko wa bei wazidi kupungua kutoka Asilimia 5.4 Mwezi Machi hadi 5.1 Aprili

    Mkuu naona unawaza hela mtaani bila kuelewa concept ya Mfumuko wa Bei!
Back
Top Bottom