Katuni ya Said Michael kuhusu Utafiti wa UKIMWI itakuwa imeeleweka


SIDANGANYIKI2015

SIDANGANYIKI2015

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Messages
1,054
Likes
4
Points
135
SIDANGANYIKI2015

SIDANGANYIKI2015

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2015
1,054 4 135
HATUPIMI VVU NCHI NZIMA!!!!
img-20160630-wa0002-jpg.361392


Nimecheka sana baada ya kuiona Katuni hii ya Said Michael inayowaondoa hofu Watanzania kuhusu Utafiti wa viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania utakaofanyika kuanzia Septemba 2016 kwa kaya 16000 zilizochaguliwa kitaalam Bara na visiwani! Jambo hili limenifanya nijiulize maswali kibao! Tubadilike jamani! Tubadilike jamani.

Hivi ni kweli kuna baadhi ya Watu wamefikia hatua wakiambiwa kupima afya hasa maambukizi ya VVU wanaogopa? Kibaya zaidi wanaendesha kampeni za makusudi kupotosha na kutisha wengine kuhusu jambo fulani la kiafya linalotakiwa kufanyika nchini kwa nia njema!Ipo mifano mingi ya kampeni mbalimbali za kiafya ambazo zimewahi kuvamiwa na kundi la watu wapotoshaji wasiojielewa kipindi kile cha utoaji wa chanjo kwa watoto kama matone ya Vitamini A matende na mabusha kwa watu wazima!​
 

Forum statistics

Threads 1,238,361
Members 475,924
Posts 29,318,215