Recent content by Sic March

  1. Sic March

    Ushauri unahitajika: Nikajiendeleze kielimu au niendelee na kazi zangu

    Sawa hapa nimekuelewa hata mm sihitaj kusimamisha kazi maana ndo inanipa ridhiki
  2. Sic March

    Ushauri unahitajika: Nikajiendeleze kielimu au niendelee na kazi zangu

    Kiukweli Kuna vitenda huwa napata lakin vinahitaji niwe na vyeti lkin Sina maana Kuna watu huwa wananipa connection lkn wanashindwa kutokana na Sina chochote
  3. Sic March

    Ushauri unahitajika: Nikajiendeleze kielimu au niendelee na kazi zangu

    Salaam kwa wakubwa na wengne wa makamo yangu natumain mu wazima Mimi ni kijana wa makamo nilimaliza elimu yangu miaka 5 iliopita ikanibidi nikomae mtaani Ila kwa sasa nina akiba ya Milioni 1.5, sasa nikawa nimepata wazo la kujiendleza kielimu katika chuo moja wapo kwa course ya Community...
  4. Sic March

    Msaada Tutani

    Najarbu kuwazA
  5. Sic March

    Pole dear Ex

    Heee
  6. Sic March

    Msaada Tutani

    Huo muda usiku huwa Nina usingz hatar
Back
Top Bottom