Recent content by Sibongile Mudenda

  1. S

    JamiiForums Tanzania HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

    Hata mi nimemshangaa kwa kweli
  2. S

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Unafiki na kusifia kila jambo ili kupata vyeo kutaliua Taifa

    Kama huwa unamskiza Pd Kitima vizuri au kama unakumbukumbu vizuri.huwa anaongea ukweli hata enzi za JPM km kuna Jambo alikuwa anaongea.haogopagi mtu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Unafiki na kusifia kila jambo ili kupata vyeo kutaliua Taifa

    Acha kuchanganya mada wee dogo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi jina Nyalusi huwa ni wenyeji wa mkoa gani?

    Ukisema Mwa... Ina maana ni mwanaume. Ivo Yuko sahihi kusema Nyalusi,maana hujui kama ni Me au Ke Sent from my V1818A using JamiiForums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania Walioshuhudia ziara ya Rais Obama Tanzania 2013

    Ahaaa ahaaa Sent from my V1818A using JamiiForums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

    Uko sahihi kabisa.saluye Sent from my V1818A using JamiiForums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania Covid-19 itatumaliza, Wizara ya Afya imekaa kimya kama vile haipo

    It begins with you.unataka seriakali isemaje kwa mfano....kama kuchukua tahadhari serikali ilishasema na chanjo zipo.ni ww tu kujiongeza Sent from my V1818A using JamiiForums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

    R.I.P Zakaria Hanspope Sent from my V1818A using JamiiForums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa TEC, Padre Raymond Saba afariki dunia

    Yes.Fr Mbiku ni mmoja wapo( RIP) Sent from my V1818A using JamiiForums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa TEC, Padre Raymond Saba afariki dunia

    Kweli kabisa.kanisa tumepoteza walimu nguli...mahubiri yao na mfundisho tutayaenzi daima.Fr Mbiku tulikuwa chuo tunamuita engine,aliishi biblia na aliielewa sana alikuwa anasimamia ukweli,straight forward man. Wapumzike kwa amani Sent from my V1818A using JamiiForums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa watangazaji wa vyombo vya habari mnawaelewa? Wamekaa kimasiharasihara tu

    So far mtangazaji/mchambuzi nayemuona mimi anafanya vzr ni yule wa magic fm kipindi cha asb ...Kibwana Dachi
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa watangazaji wa vyombo vya habari mnawaelewa? Wamekaa kimasiharasihara tu

    Ndo mana wameambiwa wakasome.wengi wamevamia taaluma hii ndo mana wanakuwa hawana weledi... Utakuta mtangazaji anajisifia eti nilikuwa kwenye mataa naendesha gari yangu....khaa
Back
Top Bottom