Walioshuhudia ziara ya Rais Obama Tanzania 2013

Huna jibu!! Haya nakutakia maisha mema ya kulamba viatu vya watawala kiasi kwamba wakikosolewa kidogo tu mnaumia utafikiri wamekosolewa baba zenu!!

Kama unataka majibu uyapendayo, kwa nini usijijibu tuu, kuhangaika kote huko kwa nini!???
 
Tulipiga deki barabara.
Siku Obama anaingia kuna kifusi kilisawazishwa pale Vingunguti.
Askari mmoja wa Marekani aliyesheheni alishuka toka garini na kukumbilia pale palipo sawazishwa na kukanyaga kanyaga kwa spidi na hatimaye kurukia gari yake na kutoka mbio.
Jamaa tukabaki kushangaa shangaa!
Ahaaa ahaaa

Sent from my V1818A using JamiiForums mobile app
 
Tulipiga deki barabara.
Siku Obama anaingia kuna kifusi kilisawazishwa pale Vingunguti.
Askari mmoja wa Marekani aliyesheheni alishuka toka garini na kukumbilia pale palipo sawazishwa na kukanyaga kanyaga kwa spidi na hatimaye kurukia gari yake na kutoka mbio.
Jamaa tukabaki kushangaa shangaa!
Haha kwanini? alikuwa anafanya nini?
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom