Recent content by Sibaru

  1. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Goba

    Amen
  2. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Goba

    Sawa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Goba

    Angalia inbox
  4. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Goba

    Bahati mbaya nipo mkoani kuna mtu nimemuomba akanipigie zikiwa tayari nitaweka
  5. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Goba

    Nimerekebisha tayari asante
  6. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Goba

    Asante nimeisharekebisha halafu ni sister sio braza
  7. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Goba

    Ninauza kiwanja changu kipo Goba Kulangwa kina ukubwa wa mita 15 kwa mita 30. Bei ni milioni 14 Nyaraka Serikali za mitaa. Huduma zote za kijamii zipo 0762282526
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nina hofu ya Hepatitis B naomba ushauri

    Pole na changamoto ya afya unayoipitia nimewahi kusikia majani ya ukwaju ni dawa unaweza Kujaribu kama ukipata amani ya kuyatumia
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natokwa na harufu mbaya sana sehemu za siri

    Pole kwa tatizo ulilonalo mkuu nataka nikuelekeze dawa ambayo huku kwetu huwa wanatumia lakini sio tiba ya siku moja chukua sufuria ulilopikia ugali chemsha maji humo halafu yachuje ukoko hayo maji ndio utumie kuoga usisahau Kuomba damu ya Yesu pia ikusafishe.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu amefariki kwa ugonjwa wa CORONA

    Mkuu hii ya sasa imekuja kivingine nimempoteza mdogo wangu wiki iliyopita dada wa miaka 40 Hana sukari Wala HIV She was health aliwekewa oxygen siku 2 tu na nilikuwa nae emergency siku zote hizo tunazungumza anakula lakini alizidiwa ndani ya dk tano tu na kufariki.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa mawazo na ushauri nini nifanye juu ya hii Tsh Milioni 8

    mkuu funguka kidogo kuhusu hiyo biashara ya mkonge wahitaji tupo wengi hapa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Serious Business Partner urgently needed

    Biashara gani unatakiwa uitaje sasa mtu atakuwaje intrested na kitu asichokijua mkuu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada Shule ya Sekondari inayofundisha michezo

    Ni ya mwaka mzima mkuu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msaada Shule ya Sekondari inayofundisha michezo

    Shukrani sana mkuu kama utamuwa na contacts zao ninaomba
  15. S

    JamiiForums Tanzania Msaada Shule ya Sekondari inayofundisha michezo

    Shukrani
Back
Top Bottom