Nilitaka kusema sex is not for everyone.Sema acha kuhalalisha umalaya kijanja, tafuta mtu mnaependana nakuijua vizuri hali Yako, Kaa nae kwa wiki au miezi kadhaa huku ukiendelea na dozi ya ndizi, karanga, parachichi n.k.
Kama game anatoa vzr hayo mengine ni madogo to. Inawezekana pia kabadilika tabia kulingana na wewe mwenyewe unavyomchukulia, labda kuna ahadi hujamtimizia au unampuuza mambo mengi.
Tumia approach tofauti tofauti kumwelekeza, mfano tafuta wakati wa amani kabisa toka nae outing mpige misosi ya...
Hata yeye atajiuliza kuwa kwanini umbanie au unataka kumwingiza mkenge asigundue labda
1. kitumbua kilishakatwa antena au
2. Unakitembeza sana kina gono pro max plus vipepe yaani kibaya baya tu. Au
3.Kinaharufu kali zaidi ya shombo la samaki. Au
4. Ni bwawa la kambale halina utamu.
Hapo...
We endelea kuchunguza tu, jamaa anaendelea kupiga pipe, fikiria anavyomtanuria mapaja, fikiria anavyotoa miguno ,fikiria jinsi mimba itakavyoingia halafu ulee mtoto sio wako. Maana wewe bila kukuambia hivi huelewi kitu.
Pole sana aiseeh. Ulisema Mercy alikua anakupa Penzi kwa mafungu mafungu, ila baada ya kutoka kwa Dr. alianza kukupa mapenzi ya nguvu inamaanisha Dr. alimpa uzoefu wa kukazwa sana.
Ukimuoa Kaa ukijua kuwa Kuna siku Dr. atamuita kuona mtoto atamkaza tena na atakutumia sms vilevile kukuumiza pia.
Na bado atakuomba radhi utaelewa tu na ataendelea kukugonga kama kawaida. Sasa hv anasubiria upepo utulie tu. Time Will tell. Utakua mchepuko wake pro-max
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.