Recent content by Shushushu Mzoefu

  1. Shushushu Mzoefu

    Ulimwengu wa 3D na 4D

    Haya maneno "Meyiiiiii, Meyiiiiii" yanamaanisha nini na ni lugha gani?
  2. Shushushu Mzoefu

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Kitu gani huki sasa, [emoji1784][emoji1784][emoji1784]
  3. Shushushu Mzoefu

    Tanesco inapoteza hela nyingi kwa siku , mfumo wa luku haufany kazi. Jengo!

    Kweli huduma hii haipatika na sijui kama ni baadhi ya maeneo au ni nchi nzima, na hii ni matokeo ya kuumbuliwa mchana kweupe kwani walijitahidi Sana kutudanganya ya kuwa kuvunjwa kwa jengo la Tanesco haitoathiri shughuli zetu za kila siku kitu ambacho siyo kweli.
  4. Shushushu Mzoefu

    US Navy Operation red wing

    Na alaaniwe mwenye nia ovu ya kujaribu kuifungia Jamii forum, inaninufaisha mno, inautanua ubongo wangu vyema. Pongezi kwako uliyetuwekea huu uzi hapa.
  5. Shushushu Mzoefu

    Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Kwani ulilazimishwa kwenda huko kanisani kwake au ulilazimishwa kutoa sadaka!!? Kama hupendezwi na mahubiri upo huru kwenda kanisa au dhehebu lingine kama ulivyoanza kwenda kwake ila ushauri ambao utakufaa kulingana na akili zako we anzisha tu kanisa lako
  6. Shushushu Mzoefu

    Mwaka 2019 ipigwe kura ya maoni, Rais Magufuli aruhusiwe akae hadi 2035

    Watu wengine sijui wakoje yaani alimradi tu ameweza kuwanyima wenzie haki, unavyosema tusiingize siasa kwenye hoja yako unakuwa hutendi haki Kwasababu hoja yenyewe ni ya kisiasa, anyway hebu niyaache hayo niingie kwenye point ya msingi, hivi unafikiri tatizo ni uchapakazi wa mtu au ni mfumo...
Back
Top Bottom