Recent content by Shunula

  1. Shunula

    JamiiForums Tanzania Mimba nje ya mfuko wa uzazi

    Asante,je hakuna tiba nyingine zaidi ya hii ya upasuaji
  2. Shunula

    JamiiForums Tanzania Mimba nje ya mfuko wa uzazi

    Habari wakuu Samahani, hivi mwanamke akipata mimba nje ya mfuko wa uzazi na kufanyiwa opresheni anaweza kupata tena ujauzito?
  3. Shunula

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu ninayopata haijawai tokea, nisaidieni namna ya kupata nafuu

    Jitahidi kupata kazi inayo ku keep busy na kukufanya mawazo yako yasimuwazie yeye. Pia epukana kwa muda na watu wanaoweza kukuletea taarifa za x-wako.
  4. Shunula

    JamiiForums Tanzania Ushauri gari nzuri ya familia

    Barabara si mbaya sana japo nahitaji gari inayovumilia hali zote.
  5. Shunula

    JamiiForums Tanzania Ushauri gari nzuri ya familia

    Wakuu michango yenu mizuri sana, naomba tuwe tunatoa ufafanuzi japo kiduchu kuhusiana na magari tunayotaja kwani si wote wanautaalamu wa magari hasa mimi. Asante !
  6. Shunula

    JamiiForums Tanzania Ushauri gari nzuri ya familia

    Hapana mkuu, nimeeleza hapo juu kuwa iwe na uwezo wa angalau watu 5.
  7. Shunula

    JamiiForums Tanzania Ushauri gari nzuri ya familia

    Michango yenu wakuu mizuri sana imenipa mwanga na pakuanzia , michango zaidi inahitajika .
  8. Shunula

    JamiiForums Tanzania Ushauri gari nzuri ya familia

    Nashukuru kwa ushauri wenu wakuu , naendelea kipokea ushauri.
  9. Shunula

    JamiiForums Tanzania Ushauri gari nzuri ya familia

    Dah ???
  10. Shunula

    JamiiForums Tanzania Ushauri gari nzuri ya familia

    Wakuu naomba ushauri juu ya gari zuri la familia linaloweza milikiwa na mtu wa kipato cha chini. Liwe na uwezo wa kubeba watu 5. Gharama yake isizidi milioni 14. Picha zitasaidia zaidi.
  11. Shunula

    JamiiForums Tanzania kazi za moyo

    Nami nasubili jibu kwa hili.
  12. Shunula

    JamiiForums Tanzania LG Pro 2 inahitajika

    Wakuu nahitaji simu ya lg pro 2 kwa tsh 600,000.Yeyote mwenya nayo weka jamvini au pm.
  13. Shunula

    JamiiForums Tanzania Nokia lumia 1520,lumia 930 vs LG G pro 2

    Wakuu heshima kwenu. Nimezichanga nataka kununua smart phone, hivyo nahitaji ushauri wa uchambuzi yakinifu ni smart phone ipi nzuri kati ya lumia 1520, lumia 930 na Lg g pro 2 ? Au waweza nipa ushauri kwa simu nyingine .
  14. Shunula

    JamiiForums Tanzania Kuota nyama puani

    Asante mkuu nitajitahidi kuzingatia ushauri.
  15. Shunula

    JamiiForums Tanzania Kuota nyama puani

Back
Top Bottom