Ushauri gari nzuri ya familia

Shunula

Member
Mar 9, 2013
72
15
Wakuu naomba ushauri juu ya gari zuri la familia linaloweza milikiwa na mtu wa kipato cha chini. Liwe na uwezo wa kubeba watu 5. Gharama yake isizidi milioni 14. Picha zitasaidia zaidi.
 
Wakuu naomba ushauri juu ya gari zuri la familia linaloweza milikiwa na mtu wa kipato cha chini. Liwe na uwezo wa kubeba watu 5. Gharama yake isizidi milioni 14. Picha zitasaidia zaidi.
Tafuta toyota rush, spacio au rav 4 ( sio kili time) zile za mwanzo, ukikwama tafuta toyota cami ila sio kid
 
1491666977413.jpg
1491666982720.jpg
Raum pia iko poa
 
Back
Top Bottom