Recent content by shunayla

  1. shunayla

    JamiiForums Tanzania WE ARE SIMBA: Tukutane uwanja wa Taifa Jumapili 25 Agosti 2019

    Nguvu moja na Taifa hatoki mtuuuu
  2. shunayla

    JamiiForums Tanzania SportsPesa Cup: Yanga 2 - 3 Kariobang Shark

    Ss vyura tumeambiwa na kocha wetu tutacheza mechi 3 ss hao bangi wasijfanye kiherhere kututoa mapema tutakua hutujatimiza malengo ya mwalim Sent using Jamii Forums mobile app
  3. shunayla

    JamiiForums Tanzania Kwa Kipa huyu bora ya Kindoki

    Amezoea kuogelea hyo hko ufukwen kwakee alkotokaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. shunayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake 'mnaozalishwa' na kuachwa huwa mnachukua muda kujitathmini kweli?

    Mmmh me sna chakuongea ila tujue kuwa kuna sababu nying sna znasababsha hali hyo na hkuna mwanmke ambae anapnda kuzaa bila kuishi na baba wa mtoto wake na ukiona hda mwanamke ameamua kuwa single mother ujue kuna sababu mm na ww hatujui nn kmemkuta au kimewakuta wote kwa pamja
  5. shunayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

    Bodaboda pia wanasumbua ukiwa na mahusino nao Sent using Jamii Forums mobile app
  6. shunayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 5 ambayo wanawake wanatamani mwanaume ajue wakati wa kufanya mapenzi

    Namba tano imekaa poa sna
  7. shunayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udhaifu wa wanawake wa kupenda sifa

    Umeuona wapi [emoji2]
  8. shunayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udhaifu wa wanawake wa kupenda sifa

    Duuuh ila mna roho mbay kuliko majmbazi kwann umpotezee muda mtu ukiwa huna malengo nae? Kuwen wakwel eti mtu ankwambia nkupnda kulko mama angu mzazi hlafu hyoyhyo baadae ankucha duu mungu awalaan wanaume Kwa dhambi hii haitawacha salama mbele ya mungu
  9. shunayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udhaifu wa wanawake wa kupenda sifa

    [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  10. shunayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udhaifu wa wanawake wa kupenda sifa

    Kwakwel wamejaliwa hcho kipji chkudanga ila me nkshamsoma alama zake to nampotezea wala cmjibu chochte nabkia kuchkaa too
  11. shunayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udhaifu wa wanawake wa kupenda sifa

    Yani cjui wapoje wanawaza kutembea hadi na vichaaa na pia utakuta anamsifia ili to amalze shida yake [emoji2] [emoji2]
  12. shunayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udhaifu wa wanawake wa kupenda sifa

    Ndio halafu hta aibu hana mtu unkuta mwanumwe ana miaka 30 anasma hajawah kua na girl friend ndo ameanza kuvutiwa na ww kumbe ametelekza famlia yake kwakupnda kuchepuka yani hawa watachomwa hadi kope kwakuhadaa wanawake
  13. shunayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udhaifu wa wanawake wa kupenda sifa

    Yani ni kweli dada mtu ankusifia hata sifa ambazo hauna ila ukimgundua unmpotezea to.ila wanaume kwa uongo to hamjambo
  14. shunayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo nisiyoyapenda nikiwa faragha na mwanaume

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] nmchka kwa saut jamn sio kwa midole hyooo
  15. shunayla

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume waliooa hawana haya wala soni

    Yn kma ni hyo mapepo kweli hawa sio bure [emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom