Recent content by shule e

  1. S

    Faida ya kuoa/kuolewa

    Karibu tuchangie mawazo mbalimbali kuhusiana na ndoa kwa ujumla, je ni faida gani mtu anapata pindi anapo oa ama kuolewa iwe katika nyanja zote kiuchumi, kiafya, kijamii nk.
  2. S

    Mkataba wa kazi maalumu

    Naomba pia kuuliza Je, Internship program ina fit kwenye definition of employment au sio employment
  3. S

    Capital Gain Tax ni nini?

    Sema tu labda wanaweza wakakubana kwa kutumia valued amount na wasitumie hyo uliyopokea lakini ni baada ya makato yako yote ndipo unapata faida ambayo inatozwa asilimia 10.
  4. S

    Capital Gain Tax ni nini?

    Capital gains income is calculated as follows: - Value of consideration received or accruing as a result of the realisation of the interest in land or buildings less cost of acquisition less expenditure incurred on any improvement to the asset less expenditure incurred wholly and exclusively in...
  5. S

    CPA holder urgently looking for a job

    Hello, hope your great. Am urgently lookig for a job, i have a bachelor degree of commerce in accounting and professionally am a CPA T. I have 2 years working experience in accounting and auditing. Please contact through dm if interested. Sincerely, Shule e. (Female) Sent using Jamii Forums...
  6. S

    Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Je, vipi kuhusu yale mabegi yake ya kuhifadhia kama wanavyofanya kwenye ukwaju, yananunuliwa au yanakodiwa?
  7. S

    Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Habari, naomba kujua mchanganuo wa biashara ya Ice cream za Azam ikoje. Ambaye anajua bei ya kununulia kiwandani kwa jumla na bei ya kuuza rejareja, sana sana zile za ukwaju.
  8. S

    Je, ikitokea mtu ulie nae kwenye mahusiano akaenda kumtongoza mmoja wapo wa wanafamilia yako, utafanyaje?

    Je ikitokea mtu ulie nae kwenye mahusiano akaenda kumtongoza mmoja wapo wa wanafamilia yako (family member tena close kabisa) ukajua then akakuomba msamaha utafanyaje? Je utamsamehe na kuendelea nae na mahusiano au utamsamehe na kuacha mahusiano yaishe? Kumbuka mahusiano yana miaka mitano...
  9. S

    Biashara ya bucha la samaki hai kabisa

    Naona soko litakuwepo ni udhubutu tu ndio unatakiwa
  10. S

    Biashara ya bucha la samaki hai kabisa

    Sidhani kama garama zitatofautiana sana na wanaoweka kwenye friji sababu sitakua natumia friji so garama ya umeme itapungua na ndio itaenda kwenye garama ya kuwalisha kidogo pindi wapo buchani
  11. S

    Biashara ya bucha la samaki hai kabisa

    Nashukuru mkuu nimepata kitu
  12. S

    Biashara ya bucha la samaki hai kabisa

    Nashukuru mkuu. Karibu sana.
  13. S

    Biashara ya bucha la samaki hai kabisa

    Inakua ni bucha kama bucha zingine za samaki, na bei pia inakua Sawa na samaki wengine tofauti inakua tu kwenye uhai wa samaki.
  14. S

    Biashara ya bucha la samaki hai kabisa

    Ni bei ilikua kubwa kidogo tofauti na wengine au sababu ilikua ni nini mkuu. Mm ninavyoona bei iwe ya kawaida tu kama za wale wanaokaa kwenye friji .
  15. S

    Biashara ya bucha la samaki hai kabisa

    Mteja akishachagua anatengenezewa tu kama kawaida
Back
Top Bottom