Hawezi kujichukia, yeye yuko na CCM kwasababu sasa anaeongoza chama ni Muislamu Na hao ni DP WORLD Wanakusudia la kuunufaisha uislamu, pili yeye katoa maono yake tu kama Ambavyo Mbowe (ambae si mwanasheria) alitoka, wakati mwingine huwa mambo haya yanaenda na kasumba, kipindi cha Rais Mkristo...
Achana na magu, Baba wa Taifa aliasisi hilo, mzee Joseph Butiku ni mtoto wa kwanza wa kiume wa Mwl nae alikuwa Mtumishi mzuri tu hata Huko UK kuna ma prince
Haya uliyoandika ndugu muandishi ni kweli yasikitisha lakini ni sawa na majuto jina la mjukuu, Mara baada ya muingereza kutupatia uhuru sisi waTanganyika ule usaliti wa kipumbavu uliofanywa na kiongozi wetu kwa jamaa zake ndio ulianza kuonyesha hii khatma unayolia wewe, Hivi hukusikia kuhusu...
Wewe ndio Mpumbavu kutokukubali madhaifu yako, utaratibu wa Uwekezaji ni wa kawaida Duniani kote, huwezi kuwa huna uwezo wa kufanya jambo kwa ufanisi kisha ikapatikana room ya mtu mwingine kufanya kwa ufanisi kisha nawe ukanufaika halafu wakaza bichwa, Tumeleta makocha kwenye Nation Teams, tuna...
Huenda wewe ni katoto kadogo, jina la Tanganyika limetumika sana na ile first generation ya Taifa, kama hukuwahi kumsikia hata babu yako akitumia jina Tanganyika basi wewe ni kitukuu Pr
Hawataweza maustadh wetu, wenyewe wako kumjibu Askofu Mbowe na Padre Lisu, nenda kafunue mafaili usome sababu ya Lipumba kuingia katika siasa za vyama vingi ndio utaelewa kwanini hawa jamaa ni Team jihad
Tumienzi mwalimu, baba na Mtakatifu wa Taifa hili, kuusigina Muungano na kukisema chama alichokiasisi ni sawa na kuiponda "Legacy" yake... ZIDUMU FIKRA ZA MWALIMU
Lisu ambae alibwagwa mahakamani na Albert Msando? Hii nchi kwakweli Acha tu masisiemu yatawale milele ikiwa hawa Walokole wanaojiita mbadala ndio wako katika tope hili la upumbavu, inasikitisha sana huenda ukawa ni graduate wa chuo kikuu na bado akili yako ikawa imedumaa kiwango hicho, kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.