Watu wa Arusha kuanza kutumia jina Tanganyika badala ya Tanzania ikoje?

Muungano??
Muungano wa kitu gani?
sisi ni Watanganyika na itaki hivyo!
Muungano waasisi wake wote walishaaga dunia
dhamira zao zilikuwa nzuri tunaamini
Ila kwa hawa tuliobaki?
Bora uvunjike tu!
coz tumeshindwa kuuenzi
 
Hilo jina tunalitumia sana tu. Tanganyika army dealers, Tanganyika investment, kuna Tanganyika schools, Tanganyika etc. Embu ingia Brella jaribu kusearch Tanganyika
 
Kama kuna Zanzibar, lazima Tanganyika pia ipo ingawa haitajwi kama mmoja wa wazazi wa mtoto anayeitwa Tanzania. Inaonekana wameielewa historia na wanajitambua.
 
Habarini Watanzania,

Kama umeitembelea Arusha siku za karibuni utagundua kuwa baadhi ya wananchi hasa wilaya ya Arumeru wanatumia jina la nchi kama Tanganyika na sio Tanzania.

Kinachoshangaza wanatumia katika mabango ya matangazo ya biashara na mengine ya utambulisho na yapo barabarani kabisa.

Hili inamaanisha nini? Je halichochei kuvunjika kwa Muungano kana kwamba Wananchi hao hawaitambui Zanzibar?

MFANO: Pale Tengeru kuna ubao mkubwa pembezoni mwa barabara kuu umeandikwa "KITUO CHA KUOSHEA KAROTI TANGANYIKA"

Sehemu nyingine katika duka la Pembejeo za kilimo pameandikwa:
.........AGROVET
S.L.P ....
ARUSHA, TANGANYIKA
Usituletee habari za wavuta bangi humu

Nipo Arusha hotelini hapa jina ni Tanzania
 
Kama kuna Zanzibar kwenye ndio, lazima Tanganyika pia ipo ingawa haitajwi kiwa mmoja wazazi wa mtoto anaeitwa Tanzania. Inaonekana wameielewa historia na wanajitambua.
Hakuna movement yoyote ya kujitambua ya watu wa Arusha kutumia jina Tanganyika. Labda kama kuna movement ya kisiasa inataka kuanzishwa na wanasiasa kwa njia ya kusema kuna movement, otherwise Tanganyika imekuwa ikitumika kwenye biashara za watu maeneo tofauti tofauti nchini.
 
Habarini Watanzania,

Kama umeitembelea Arusha siku za karibuni utagundua kuwa baadhi ya wananchi hasa wilaya ya Arumeru wanatumia jina la nchi kama Tanganyika na sio Tanzania.

Kinachoshangaza wanatumia katika mabango ya matangazo ya biashara na mengine ya utambulisho na yapo barabarani kabisa.

Hili inamaanisha nini? Je halichochei kuvunjika kwa Muungano kana kwamba Wananchi hao hawaitambui Zanzibar?

MFANO: Pale Tengeru kuna ubao mkubwa pembezoni mwa barabara kuu umeandikwa "KITUO CHA KUOSHEA KAROTI TANGANYIKA"

Sehemu nyingine katika duka la Pembejeo za kilimo pameandikwa:
.........AGROVET
S.L.P ....
ARUSHA, TANGANYIKA
Huenda wewe ni katoto kadogo, jina la Tanganyika limetumika sana na ile first generation ya Taifa, kama hukuwahi kumsikia hata babu yako akitumia jina Tanganyika basi wewe ni kitukuu Pr
 
Back
Top Bottom