Pale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba (uwanja wangu) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya miezi5 hajatowa. Je, mimi niking'oa nitakuwa na kesi?
Kuna sheria au utaratibu unaotaka mtu anayedhaminiwa mahakamani kulipa hela ya fomu ya dhamana tena kwa watuhumiwa wote.?
Huyo aliyesema mahakama ya mwanzo songea.
Hawawezi kuumbuana wenyewe imesha hiyo.Mimi nimefika ktk jimbo alokuwa analiongoza bado wanampenda hadi mtu mzima na mtoto wameva tishet lenye jina lake,vikadi vya kuning'iniza kwenye gari na hata hospital ya wilaya mashuka yenye jina lake bado yanatumika.Nikaonana na baadhi ya wanafamilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.