Recent content by SHUJAA MKUU

  1. SHUJAA MKUU

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    TTCL Naona imekufa sasahivi hata ukimwita fundi hafiki. Ni shida kwelikwe
  2. SHUJAA MKUU

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Mimi nipo MBINGA Mjini mtaa wa UZUNGUNI TOKA vibaka wamekata waya huu sasa mwezi 4 nimetoa ripoti Kwa fundi wenu haji na simu ya mezani KANISANI Simu za kwanza mpaka mligawia watu wengine nashangaa.Mlinishawishi ninunue Ruta nimenumua situmii. Nikilipia waya unakatwa fundi harudishi...
  3. SHUJAA MKUU

    Kipi Mungu anachoweza kukifanya kikanisaidia?

    Mungu Alisha kusaidia ila hujamwona (Neno linasema atainua watu Kwa ajili yako Amemuinua mhindi kukutibu Kwa dawa alizoziumba Mungu Mungu ndiye hutupa nguvu ya kupata UTAJIRI Hivyo afya uliyonayo ni Mungu kakupa Hivyo Mungu kakusaidia Wewe hujui
  4. SHUJAA MKUU

    Yupo wapi Askofu Zacharia Kakobe? Hajaonekana tangu Desemba 2021

    Fisi wanatabia kufuatilia alipo Simba Ili kunyang'anya mawindo yake.MZEE KAKOBE yupo kimya FISI mnataabika na Nini nyie HAYAWANI.Fisi wakimwona simba Hana mawindo wanamkata mkia Wanakula.Nyie mafisi mnataka mkimwona KAKOBE Mumfanyeje mzee wetu
  5. SHUJAA MKUU

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Mimi ni mteja wa mda mrefu sana TTCL natumia sana simu za mezani.TTCL hawajali wateja kabisa nimenunua mpaka LUTA yao. Hawa TTCL wasipofundisha wafanyakazi wao kujali wateja,ni majanga tu.
  6. SHUJAA MKUU

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mimi ushauri wangu mheshimiwa Rais nchi yetu sasa hivi upo mgawanyiko mkubwa Sana. Ameanza na kuunda kamati za amani ili amani iwepo. Tunaomba aunde kamati zitakazo toa elimu ya uzalendo ilk watu wapende nchi yao. Kizazi kilichopo sasa hakijui tilipotoka wanapotokea matapeli wa kuhujumu uchumi...
  7. SHUJAA MKUU

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Hilo lipo maana siku narusha salio ili ninunue mda wamaongezi imekatwa nawapigia wanasema ulikopa mda WA maongezi nawauliza lini. Najibiwa hawawezi kata Kama huna Deni.
  8. SHUJAA MKUU

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom mmeniboa Sana wafanyakazi wenu wanawaangusha hawapo kikazi ila kimaslahi zaidi Tatizo langu toka mwezi 5 baada ya kuwatafuta viongozi wajuu Jana ndo wanahangaika yaani nimekerekwa kweli. Ushauri katika menu yenu ongezeni kipengele kitakacho mwezesha mteja kuripoti mwenendo mbuvu...
  9. SHUJAA MKUU

    Zitto Kabwe: Adui, Rafiki, Kipenzi

    Hata mimi nilimpenda ila kwa sasa nasema mapema mno kuona anafaa.Kirago alicho kitupa jirani yako usikalie kwanza lazima UKIKUNGUTE
  10. SHUJAA MKUU

    Gwajima atakumbukwa kama shujaa wa kupinga mahakama ya kadhi

    Sisi ni watanzania kazi yetu ni kudakia vitu.flora mbasha kakimbia mumewe kaatamia mdogowake kama wewe ungekuwa mkewe ungefanyaje?yakusikia unatoa povu yangekukuta ungekuwaje?
  11. SHUJAA MKUU

    Kakobe: Joka la Makengeza ni Shetani! Awashukia Wanasiasa wanaonunua waandamanaji

    Ukweli unauma ila mzuri hata adui yako akikushauri kama ni ushauri mzuri pokea.unaweza kumkataa hata anae kusaidia
  12. SHUJAA MKUU

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Humjui kakobe wewe KAKOBE mhubiri wa kimataifa na hayupo kushindana na mtu. kama unaona yupo aliye zaidi ya kakobe safi.Ila kama yupo anayejiona yupo juu ya wenzake pole yake.sasa uliowataja walikuambia wenyewe au takwimu zako za vijiweni Neno linasema KILA AJIKWEZAYE ATASHUSHWA. Usiwapandishe...
  13. SHUJAA MKUU

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Pole ndugu yangu shabiki wa kidini HERODI hakuwa mwislamu wala mkristo Unataka kutuambia KIKWETE yupo madarakani kwa niaba ya waislam? kabla hujaendelea kipambanue vizuri unawashawishi watanzania kuwa kikwete yupo kwa maslahi ya waislam Kakobe kama mtanzania haongei kwa niaba ya wakristo acha...
  14. SHUJAA MKUU

    Monduli: Uhuni wa Lowassa huu hapa

    Tusijali sana huu ndio mwendo wa watanzania hata kwetu nyasa Matokeo yalitangazwa,wananchi wakiwa wameshika mapanga mashoka mawe marungu na wakamweleza anae tangaza. Ukitangaza tofauti leo mwisho wako.Askari wakamweleza kwa hili hatukusaidii. Mheshimiwa wa chama kaya alizimia wakamwagia maji...
  15. SHUJAA MKUU

    Nabii GeorDavie: Namjua Rais ajaye 2015

    Anaogopa akimtaja jamaa watatumia pesa kuangusha unabii wake.Atamtaja akisha chaguliwa ha ha ha alo we acha
Back
Top Bottom