Ww kweli hamnazo kwahiyo kumfungia siku saba kwenu mataga imekuwa sherehe? Vipi lile roli la mkaa linaloenda gereji siku nane unalizungumziaje nayo ile ni adhabu? Mbona haushauri aendelee na kampeni muda huu ambao kufungiwa kwa lissu kwako imekuwa ahueni kupumzika spana.
Msichojua mataga wengi...
Wale akina nabii tito wanafanya ni? Au sababu mungu wenu kapigwa za uso? Tumia akili kufikiri hayo matako tumia kukalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshindwa kusoma upepo huyo hizi nyakati habari za kuhamahama sio issue tena. Sababu anazotoa solution yake siyo kuhama chama sababu hata huko aendako hizo safu za kugombea zimeshaandaliwa. Aangalie bifu la kangi na msiba ataelewa tatizo ni huko kujipanga na maandalizi ya ubunge.
Kama anajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.