Membe jipange, Mzee Makamba yeye hana tatizo kwa hali aliyonayo kwa sasa

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
8,256
9,085
Nasema jipange,kuomba suluhu,au ukubali kunyong'onyea mdogomdogo mpaka pwaa!

Alieshika mpini achana nae kabisa ,kwa mfumo wa nchi yetu ulivyo hajawahi shindwa,utajiita kachero mbobezi elimu ya juu,lakini ubobezi wako ni bora tu unapokua ndani ya system,nje ya hapo ni masimulizi tu.Lowassa sio mjinga kujisalimisha,wewe komaa uone cha mtema kuni.

Vijana ambao ndio ilikua chachu yako wamepima kina cha maji wakaona kirefu,wanajisalimisha ,sasa wewe jifanye kidume .
unaujua unafiki wa watanzania,

Hata hao kina Bollen Ngetti ni wasaka fursa tu kwako,angalia mapambio yao yasije kukulevya ,kukusaliti ni kugusa tu,pia naamini rejea nyingi tu unazo kuhusu wasaliti nchini.

Siasa imejaa unafiki sana ,kusalitiana ni kugusa tu.na inasemekana kagenge kenu kote kanajulikana ,kitendo cha kujulikana ni kushindwa kwa mission.

Nimalize kwa kusema ,wakati ni sasa,tumia nafasi hii kuomba samahani kwa mwenyekiti wa chama ,si dhambi kufanya hivyo, usiogope kuwekwa hadharani,kwani kuweka hadharani ni kuondoa sintofahamu kwa jamii yenye tafsiri za kila aina kuhusu wewe na mwenyekiti ,

watasema yatapita.

Usije sema hukuambiwa,

Nalog off!
 
Vijana walipima wakaona,aliyepaswa kuwatia moyo kwa kundi lao ni mzee wa Msoga kwa sababu alifanya nao kazi,sasa kakaa kimya.Key nana kasepa zake uraia wa nchi 3,Marope senior ni muoga kwa ubatizo wa moto,atachemsha hv punde,Maembe atajikaza lakini atalegea,siasa ndivyo zilizvyo
 
Niliwaambia kwa mfumo wa Nchi yetu Rais anamamlaka makubwa amini usiamini, Rais wa nchi hii anaweza kukufanya chochote na hili hao akina membe wanalijua na roho ya huyu aliyeshika mpini wanaijua sn tu, sasa mda utaongea
 
Nasema jipange,kuomba suluhu,au ukubali kunyong'onyea mdogomdogo mpaka pwaa!

Alieshika mpini achana nae kabisa ,kwa mfumo wa nchi yetu ulivyo hajawahi shindwa,utajiita kachero mbobezi elimu ya juu,lakini ubobezi wako ni bora tu unapokua ndani ya system,nje ya hapo ni masimulizi tu.Lowassa sio mjinga kujisalimisha,wewe komaa uone cha mtema kuni.

Vijana ambao ndio ilikua chachu yako wamepima kina cha maji wakaona kirefu,wanajisalimisha ,sasa wewe jifanye kidume .
unaujua unafiki wa watanzania,

Hata hao kina Bollen Ngetti ni wasaka fursa tu kwako,angalia mapambio yao yasije kukulevya ,kukusaliti ni kugusa tu,pia naamini rejea nyingi tu unazo kuhusu wasaliti nchini.

Siasa imejaa unafiki sana ,kusalitiana ni kugusa tu.na inasemekana kagenge kenu kote kanajulikana ,kitendo cha kujulikana ni kushindwa kwa mission.

Nimalize kwa kusema ,wakati ni sasa,tumia nafasi hii kuomba samahani kwa mwenyekiti wa chama ,si dhambi kufanya hivyo, usiogope kuwekwa hadharani,kwani kuweka hadharani ni kuondoa sintofahamu kwa jamii yenye tafsiri za kila aina kuhusu wewe na mwenyekiti ,

watasema yatapita.

Usije sema hukuambiwa,

Nalog off!
Kuna watu wako tayari kufa kutetea uhuru wao ujue! Wote siyo kama Nape &Co. Ltd
 
Acha kutumia signature ya Washawasha na log off wewe. Temana na signature za watu wewee
 
Mimi sio mshabiki wa Membe, ila nashangaa mtu mzima unapofundisha watu uoga. Hao vijana bado wanapambania matumbo.
 
Niliwaambia kwa mfumo wa Nchi yetu Rais anamamlaka makubwa amini usiamini, Rais wa nchi hii anaweza kukufanya chochote na hili hao akina membe wanalijua na roho ya huyu aliyeshika mpini wanaijua sn tu, sasa mda utaongea

Tulipotaka katiba mpya ili madaraka ya rais yapunguzwe, hao wanaoomba msamaha sasa walijua madaraka ya rais ni kwa ajili ya kulinda madaraka ya ccm, hivyo wakafanya kila hila kuihujumu katiba yenye maoni ya Jaji Warioba, saa hii wanashikishwa ukuta wanaanza kulialia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom