Recent content by Showme

  1. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bibi wa Taifa: Maiti za MO29 zilichomwa kwenye tanuru

    Nafikiri kuwekwe ushahidi tuamini isiwe porojo tu
  2. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bibi wa Taifa: Maiti za MO29 zilichomwa kwenye tanuru

    Unaonaje ukiweka ushahidi wa picha wakati miili inahamishwa kupelekwa wazo.? Hizi story tupu tutaona ni uzushi tu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Napitia kipindi kigumu nilivamiwa na vibaka na kunipora pesa zangu za mtaji, napitia kipindi kigumu sana wakuu msaada

    Yani unatembea na mtaji wote mfukoni au umeamua kutupanga?
  4. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bibi wa Taifa: Maiti za MO29 zilichomwa kwenye tanuru

    Si mlisema imefukiwa kwa kondo au sio??
  5. S

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya sekondari Wailes Temeke inaongoza kwa viboko na michango

    Umesoma ukaelewa au umesoma ili uwahi kukoment?
  6. S

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya sekondari Wailes Temeke inaongoza kwa viboko na michango

    Walimu wa sekondari wailes wanaongoza kwa kubuni michango shule ni tatizo ni nini? Mtoto asipoenda kusoma jumamosi anadaiwa tofali 5 mpaka 10 za sementi na hela aliyotakiwa kulipa jumamosi anailipa pia ingawa hakusoma, walimu wakujitolea wazazi ndio wanakiwa kuwalipa kwa mwezi 2000, Kuna kusoma...
  7. S

    JamiiForums Tanzania KERO Shida hii ya Umeme Tunduru mpaka lini?

    Umeme umekuwa kero kubwa wilayani Tunduru, licha ya kukatika lila mara lakini hii imekuwa too much tangu umekatika jana tarehe 1 saa 2 usiku umeme haujarudi mpaka sasa ninapoandika tarehe 2 saa 1744 jioni. Mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote kutoka Tanesco.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Huyu Jamaa hazeeki miaka Sasa yupo vile vile

    Majariwa❌ Majaliwa✔️
  9. S

    JamiiForums Tanzania Balozi Nchimbi: Kikokotoo ni kero kubwa, nitamfikishia taarifa Rais Samia

    Kinachojari❌ kinachojali✔️
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Bandalini ❌ Bandarini✔️
  11. S

    JamiiForums Tanzania KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

    Hujifiche ❌ ujifiche✔️, udharirishwe ❌ udhalilishwe✔️
  12. S

    JamiiForums Tanzania Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

    Wakarimani❌ Wakalimani ✔️
  13. S

    JamiiForums Tanzania Lissu: Dola za Kimarekani Milioni 42 (takribani Tsh. Bilioni 100) zilikutwa nyumbani kwa Magufuli baada ya kufariki

    Picha ya mabilioni yaliyofichwa ipo wapi?
Back
Top Bottom