Recent content by shonkoso

  1. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwa nini Kesi ya Lisu itaendelea tena tarehe 11 June,siku ambayo kombe la dunia linanza?

    Natamani kila Mtanzania aelewe namna ambavyo viongozi wetu wanatuchukulia Wanatuchukulia kama mazwazwa,mapwoyoyo flani yasiyotofautisha mambo serious na ishu extra yaani za burudani kama mpira. Siku Simba na Yanga wamecheza mpira tarehe Sikumbuki wa NBC premier league,tukiwa busy sijui na...
  2. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Je,Wajua kuwa ipo Siku Lissu atasomwa shuleni kama shujaa, kama vile ilivyo kwa akina Mkwawa?

    Hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha,ndo ninavyoweza kusema kwani hata kipindi akina Nyelele wanapigania uhuru baadhi ya Watanganyika waliwaona kama wana fujo kwani walikuwa wananufaika na uwepo wa wazungu. Ipo siku Mwamba huyu mwenye akiri kubwa hata ya kuweza kusoma report nchi nzima badala ya...
  3. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Nimeandika kitabu kuhusu upinzani Tanzania,naomba ushiriki kupendekeza angalau jina la kitabu

    Mchango wangu pekee ninaoweza kuutoa kwa nchi yangu Tanzania ni kuwaletea matukio kina juu siasa za Upinzani toka 1992.Nimeandika na bado naendelea ila nawaza jina la kitabu napata kigugumizi,japo nimewaza haya kwa kuanzia 1“Machozi na Damu za Ukombozi” 2. “Kilio cha Mashujaa: Historia...
  4. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Vipindi gani vya Redio/TV havina mvuto na unashangaa kwa nini bado vipo hewani?

    Mimi binafsi kipindi cha vifo Radio one kama sikosei, zamani ilikuwa ni kipindi kizuri kutokana na upatikanaji wa taarifa kuwa hafifu ila kwa sasa mhhhhhh, vipi wadau wengine?
  5. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Duniani kote vilabu vya soka havijihusishi na siasa. Inakuwaje Yanga wajihusishe na CCM moja kwa moja? Sisi ambao sio wana CCM tuhame timu?

    No, it is not okay for Yanga Sports Club—or any football club—to contribute money to a political campaign like CCM’s. According to FIFA regulations and general principles of sports governance: 1. Political Neutrality: FIFA’s statutes and the broader principles of international sports require...
  6. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya TATA liliobeba mashabiki wa mpira kutoka Mwanza kwenda Dar kuisapoti Stars michuano ya CHAN lateketea kwa moto

    Ahsante mheshimiwa rahisi, bila wewe yote haya yasingetokea
  7. shonkoso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu: Mimi ni muathirika wa HIV (HIV Positive)

    Kavu tamu sana ila mziki wake sasa duu,ee Mungu saidia
  8. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

    Umenena ukweli mtupu mkuu
  9. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Ukienda kwenye wall ya dada wa Taifa iliyopo Instagram utawashangaa watanzania wengi wanavyomlalamikia mtu anayeishi marekani

    Watanzania wengi ni wanafiki ,hawako straight, hata kama mtu kakosa hamwambii hapo hapo anaenda kulalamika kwa mtu wa Pembeni, sijui chanzo nini
  10. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wa kigeni kuchezesha Derby, ni Moja kati ya takwa la Yanga

    Madhara ya Kayoko haya.
  11. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Kama ndo wale ni mawakili wa serikali wanaosimamia kesi shitaka upande wa serikali ni aibu.

    Mawakili wenyewe people's, sema njaa mbaya sana
  12. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele. Kuchezwa 25 June, 2025

    Ila watanzania wengi uwezo wa kufikiri mdogo sana,wanageuzwa uzwa kama chapati, mimi sio shabiki wa timu yoyote hapa bongo lakni mmepumbazwa na usimba na yanga hata kufikri kawaida mmeshindwa kabisaaa
  13. shonkoso

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

    Wako wangapi kwanza? Haki gani acheni ukuda nyie maviciciem
  14. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Kataa CCM = Kataa Ushabiki wa Simba na Yanga

    Kila kitu hapo kipo kimepangwa,kuna ishu zinataka kufanyika na wanataka kuhakisha attention za wananchi.
Back
Top Bottom