Wewe biashara huwezi Tangu Mwaka jana unaulizia tu mambo ya PS hutaki kununua wametokea watu wengi saana wanazo hutaki, Nadhani una utoto mwingi sana. Tangu mwaka jana unaanzisha nyuzi tu
Habarini Jamani,
Wafanyabiashara wenzangu vp hali ya biashara huko kwenu ikoje, mzunguko ukoje. Mimi naona tangu mwezi huu wa nane Mambo yamekua magumu sana, vp kwenu huko.
Hii ya 210,000 ndio ambayo monthly utakua unalipia 70,000 na unapata speed ya 10mbps. Vipi kwenye ufanisi wake wa spidi haisumbui, kwenye kazi za kawaida kuingia online whatsapp na kudownload files ndogondogo
Habari wakuu, nina kiofisi changu, nataka kununua Router unlimited ya Airtel, ambapo wana categories, wanaanzia bando ya 70,000 kwa mwezi ambayo ni Unlimited na Speed yake ni 10Mbps.
Ama nilipie ya 110,000 ambayo kila mwezi takua nalipia iyo 110k na Speed ni 20Mps.
Naomba Ushauri, ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.