Recent content by Shocker

  1. S

    JamiiForums Tanzania DP world kiko wapi?Tuliwaonya hamkusikia

    Ivi ulipozaliwa ulianza kutembea na kwenda mbio au ulifinywa ukatoa makelele ya kulia ? Sasa haya ya DPP ndio kwanza yamezaliwa ,haya si muujisa wa Nabii Issa Bin Marium kwa hapo hapo utaanza kutoa maneno tuseme faida . Mbona mnatutia aibu kutaka faida ya papo kwa papo ,mna tatizo la kuuziwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Alichokosea Mchungaji Gwajima ni kuilenga Kamati ya Uteuzi ya Rais kwa Vyombo vya Ulinzi

    Kwa kweli ameshindwa kuwasilisha au kuwakilisha alichokikusudia na badala yake anaelekeza kwenye kamati ya Raisi inayojihusisha na uteuzi ,ambapo hapa Gwajima amepaona ndiopo penye ukakasi wa wakuu wa ulinzi kwa ujumla wao kusitishwa kuendelea na uchunguzi utekelezaji au ufuatiliaji endapo kuna...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yaani Tundu Lissu hatoki, Kila mkipiga makelele ndio mnamponza

    Msiseme alichangamka, mnashindwa kusoma tabia uso na vitendo ,labda kilugha tuseme amepazal hajui atendalo , Hebu mtafute wakili alietulia kwa pembeni uzungumze nae na zile clipu za Mheshimiwa Lisu umuoneshe kama hajaziona kisha mwambie akupe kosa lipo wapi ,hapo ndio utaona kama kuna tatizo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Msimamo wa Chama chetu ni kusimama na msimamo wa wananchi na kutokufanya siasa za ulaghai

    Waache kubadili gear angani ,yaani wanataka kuwabebesha mzigo wananchi Ivi wananchi ndio walisema no reform no election ?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera yazidi kuikalia kooni serikali ya Rais Samia

    Hakuna aljazeera wala alkinani jua linakuchwa jahazi la Chadema linazidi kuzama na msaada huo wa kusikiliza matangazo mwisho wa habari mtakuja kusikia matangazo ya kifo cha Chadema. Ndio ninavyo baada ya habari kuna matangazo ya kifo na kwa habari za mjini Chama gani kipo mahututi na kimetupwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Lissu kajitolea maisha yake kupigani Haki. wewe na Mimi tumejitolea nini maisha yetu

    Nawna mmeanzha kuombolezha vipi mshapata kudukuwa habari za hukumu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyoshiriki uchaguzi vyaipa Onyo CHADEMA ikae chonjo na uchaguzi Saa mbaya

    Mwaka huu ndio mwaka CCM itakapopata viti vichache maana ndio wakati wa kukiwasha kwenye kituo cha kura ikiwa wasiojulikana watafika kuteka kura na masanduku yake.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyoshiriki uchaguzi vyaipa Onyo CHADEMA ikae chonjo na uchaguzi Saa mbaya

    Mwenyekiti wa Chauma alisema hio na akawaomba wananchi wanaotaka kupiga kura wasione shida wajiunge na vyama vingine ,sikiliza vizuri anapozungumza. Siokoti habari za nchi za ulaya na aljazeera.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyoshiriki uchaguzi vyaipa Onyo CHADEMA ikae chonjo na uchaguzi Saa mbaya

    kwa size hio Ushaharibiwa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Vijana GenZ wa Kenya, hapa mavuka mpaka kwa maana zote mbili!

    Yaani CCM inashinda kwa kishindo mwezi baada ya ushindi Mashirika yote ya kiserikali na yasio ya kiserika yarudi makwao hawa human right nao kwao . Ikiwa wanatuona waafrica tumefanana au hatuna tofauti na wanyama hivyo warudi huko waliko binadamu. Hapa watuache na sheria zetu za misituni Na...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Condom inepasuka

    Na kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye maandamano ya watanzania waishio marekani IMF- Pennsylvania

    Haya tuone huku kunakofukuzwa marefugee ndio mnataka kuandamana naona kama kuna urahisi fulani hivi kwa Serikali ya USA . Haya kila la eri
  13. S

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera yazidi kuikalia kooni serikali ya Rais Samia

    Hakuna aljazeera wala Udaku jua linakuchwa jahazi la Chadema linazidi kuzama na msaada huo wa kusikiliza matangazo mwisho wa habari mtakuja kusikia matangazo ya kifo cha Chadema. Ndio ninavyo juwa kuwa baada ya habari kuna matangazo ya kifo na kwa habari za mjini Chama gani kipo mahututi na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vinavyoshiriki uchaguzi vyaipa Onyo CHADEMA ikae chonjo na uchaguzi Saa mbaya

    Sasa joto limeanza kupanda vyama vinavoshiriki Uchaguzi vimeiambia CHADEMA kaa chonjo saa mbaya usitake kutuharibia na wengine tutapambana na wewe na tunaitaka CCM ikae pembeni hawa kama hawajafunzwa na mama zao watafunzwa na dunia. Hawashiriki uchaguzi washike adabu zao na heshima zao...
Back
Top Bottom