Recent content by shmd65

  1. S

    Special thread: Kwa wote ambao tumeshagongewa wake zetu

    Wanaume huwa ni wazuri katika kujionyesha wao wana athirika zaidi kuliko wanawake. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Huenda shirika la kazi duniani na shirika la haki za binadamu wakajitosa sakata watumishi 9932

    Kiukweli hata ingekua mama yangu mzazi na amefoji cheti sheria ingefuata mkondo wake. Kuna msemo wanasema sema kweli japo kuwa inauma...sasa hawa watu ni waongo na ni wahalifu. Kuna msemo unasema ex dolo malo non oritur actio "no action arises from deceit". Sasa bado mnataka watanzania huruma...
  3. S

    Mkutano wa CUF wa Maalim Seif wavamiwa na watu wenye "mask". Wanachama na waandishi wapata kipigo

    Saiv kama una bastola ukitaka hudhuria press confrence ndo wakati muafaka wa kubeba silaha yako. Wakilianzisha tuu. Una fyatua tuu.
  4. S

    Wanasiasa vijana: Maghembe Jr Vs Malecela Jr ( aka Le mutuz)

    Hi degree ya criminology is a special case. Yani katika siku alinishanhaza ni pamoja na hii bachelor of criminology alaf amerudi bongo hata polisi hawa mtambui. Mara anasema kapitia jeshi mara baharia
  5. S

    Kangi Lugola: Mbowe amemtukana Magufuli, CCM na Bunge. Haikubaliki, achukuliwe hatua

    Ingekua mpumbavu ni tusi basi maneno ya Yesu katika bibilia navyo ni chanzo cha matusi.
  6. S

    Kamanda Sirro: Nimeona watu kwenye mitandao wakisema kwamba Polisi wamekuwa kama TRA

    Wewe ambae hujawahi kusahau ni nani? Maana binadam wa kawaida lazima tusahau ispokua Miungu watu wetu wa tanzagiza.
  7. S

    Prof.Muhongo umeenda kufanya nini Rusumo na ulisema umeme wa maji haufai?

    Kiwanda cha sukari TPC kinazalisha umeme wake out of mabaki baada ya kutengeneza sukari na saw dust. Umeme wao unaweza run mashine za kiwandani na wakauza. Kuna kipindi nilisikia TANESCO walikataa kuuziwa umeme huo na TPC hivyo unauzwa Kenya. Kwanini serekali isingewaza kununua huo umeme wa TPC...
  8. S

    Uchumi wa Tanzania (GDP) sasa uko katika 15 bora Afrika

    We are too lazy to find them. Just come when your fully equiped. Tupe data za uhakika and not facts kama za Le Mutuz
  9. S

    Uchumi wa Tanzania (GDP) sasa uko katika 15 bora Afrika

    Statistics za IMF za mwaka gani ulizo present hapo juu?
  10. S

    Mfanyakazi asimamishwa Clouds kwa kutangaza habari ya Paul Makonda, TEF yaitaka mitandao iunge mkono

    Huyo mwandishi kaajiriwa TCRA au Clouds? Is there a legality of such a bylaw by the company?
  11. S

    Mfanyakazi asimamishwa Clouds kwa kutangaza habari ya Paul Makonda, TEF yaitaka mitandao iunge mkono

    Sawa learned friend....mwambie aende tena umsindikize mkapigwe za uso pamoja. Katika mikataba ya kazi huwa kuna clause ya kusema utakua tayari kufanya yale yote utakayo elekezwa na muajiri. Sasa mshauri vyema aende akapata fundisho la labor law mahakamani.
  12. S

    Mh. Sophia Mwakagenda(CHADEMA) atunukiwa Tuzo ya Mwanamke Bora

    Swala la office za Chadema lina wauma sana wana ccm? Mnataka ijengwe mumtume Bashite akavamie kama alivyoenda Clouds?? Maana ni pilipili msioila ila haiachi kuwa washa washa.
  13. S

    Mahakama Kuu yatengua Hukumu ya Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali

    Naona leo mpinzani wake kijana Abubakari Assenga (mtoto wa fundi cherehani) ata lala kwa kumeza valium au piriton. Sio kwa kumsakama vile kijana wa watu. Alimsema sana hukumu ilivyotolewa.
  14. S

    Kama haya ya walinzi wa Makonda kwa Nape ni kweli basi ni aibu kwa Rais wetu

    Ni raisi wetu ndio......ila sio Mungu wetu asiekosolewa na asiekosea.
  15. S

    Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

    Mange kashawataja na picha tumeziona. Tunasubiri picha liendelee.
Back
Top Bottom