Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,940
- 19,130
Mbunge Kangi Lugola kumbe ndie amamchongea Mbowe bana, anadai kuna clip inasambaa mtandaoni ikisikika Mbowe akitukana CCM,bunge, na rais Magufuli na kumtaka Spika achukue hatua, binafsi sikuisikia hiyo clip
Mbunge mwingine wa CCM alisema pia Mbowe achukuliwe hatua ni Goodluck Mlinga, pia alisema Masha akiwa CCM alingo'oa viti vya ofisi kisa alishindwa ubunge hivyo hafai kuwa muwakilishi bunge la Afrika Mashariki