Uchumi wa Tanzania (GDP) sasa uko katika 15 bora Afrika

Kuna kipindi,miaka ya 80 TZ ilitajwa na mashirika makubwa ya kimataifa kama IMF kuwa ya mwisho.Kwa sasa imefanikiwa kuzipita nchi nyingi kiuchumi na sasa inatajwa kuwa ktk kumi na tano bora.Nchi kama Uganda,Malawi,DRC,Zambia,Burundi,Rwanda nk tumewapita kwa mbali.

Statistics za IMF za mwaka gani ulizo present hapo juu?
 
Bajeti imetekelezwa kwa 30% record ya Dunia. Hizo GDP tuzione basi mwa wananchi watu waone hata Dawa hosipitalini na watu waajiriwe
 
Kuna kipindi,miaka ya 80 TZ ilitajwa na mashirika makubwa ya kimataifa kama IMF kuwa ya mwisho.Kwa sasa imefanikiwa kuzipita nchi nyingi kiuchumi na sasa inatajwa kuwa ktk kumi na tano bora.Nchi kama Uganda,Malawi,DRC,Zambia,Burundi,Rwanda nk tumewapita kwa mbali.
Hata supporting evidence hakuna kaka? Hii ni JF fanya kujazia nyama kidogo
 
Siy
Watz kwa kujipa matumaini hawajambo, yaani hujui kuwa hiyo GDP inafanyiwa calculation umakini wako, wa bibi yako kule kijijini kujumlisha na mabilions ya manji, bakhresa pamoja na mengi na mwisho ndo tunapata hiyo GDP
Siyo kwa TZ tu
 
Kuna kipindi,miaka ya 80 TZ ilitajwa na mashirika makubwa ya kimataifa kama IMF kuwa ya mwisho.Kwa sasa imefanikiwa kuzipita nchi nyingi kiuchumi na sasa inatajwa kuwa ktk kumi na tano bora.Nchi kama Uganda,Malawi,DRC,Zambia,Burundi,Rwanda nk tumewapita kwa mbali.
Kwa uhalisia upi labda? Tazama wananchi wanavyotaabika na ugumu wa maisha.Usikurupuke wa kusoma aya moja tu!
 
Watz kwa kujipa matumaini hawajambo, yaani hujui kuwa hiyo GDP inafanyiwa calculation umakini wako, wa bibi yako kule kijijini kujumlisha na mabilions ya manji, bakhresa pamoja na mengi na mwisho ndo tunapata hiyo GDP
Such a poor point my friend
 
Bajeti imetekelezwa kwa 30% record ya Dunia. Hizo GDP tuzione basi mwa wananchi watu waone hata Dawa hosipitalini na watu waajiriwe
Nenda uone barabara za lami zinazosambaa nchi nzima,shule za kata,zahanati.Pamoja na kuwa hatuko vizuri kulinganisha na ulaya,lakini ukitulinganisha na nchi nyingi za Afrika tuko vizuri.Nenda Burundi,DRC,Malawi uone
 
Back
Top Bottom